Recent content by Doto Athman

  1. D

    Unafurahia mahusiano yako?

    asantesana nduguyangu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. D

    Unafurahia mahusiano yako?

    asante my dear namba 3 ina nguvu kuliko zote na ninajitahidi sana Sent using Jamii Forums mobile app
  3. D

    Unafurahia mahusiano yako?

    hapo ndo panaponipa jakamoyo coz hata mambo yake nimeelezwa na rafikizake wa karibu yeye haongeagi chochote hata kumsaidia ni muhali mimi nimetulia naangalia tu nione mwishowake nduguyangu naamini kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho Sent using Jamii Forums mobile app
  4. D

    Unafurahia mahusiano yako?

    hili ndo linalonifanya hadi nipo naye hadileo,kibinadamu naumia lakini sichoki kumwomba Mungu azidi kunipa ustahmilivu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. D

    Unafurahia mahusiano yako?

    afya tumepima ni mzima tatizo ule uwezo wa kawaida wa kiume hana naogopa kuandika undani hasa mambo yalivyo hapa ktk public ila kiukweli ni tatizo sana Sent using Jamii Forums mobile app
  6. D

    Unafurahia mahusiano yako?

    tuna miaka 2 kipenzi ila ndoivo mtu huyu ni waajabu haongeagi kabisa kwa uzoefu wangu hata nikimwambia nitakuwa naongea tu mwenyewe na hatonijibu kitu kama ambavyo hufanya nikimwambia chochote hunyamaza kimya kama kiziwi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. D

    Unafurahia mahusiano yako?

    my dear kuhusu hili la nguvu wala sitothubutu kuongea naye mana kwanza namwogopa haongeagi na mimi kabisa nikisema ni mnyama namaanisha ni mnyama,akija kwangu ni dk 30 anaondoka na hataki story,tena huja usiku sana wala sijui huwa anawaza nn hadi kuja kwangu siwezi kuandika vituko vya huyu bwana...
  8. D

    Unafurahia mahusiano yako?

    nazingatia ushauri wako nami niliwahi kuwaza hili pia,acha nijitahidi mana maumivu ninayoyapata ktk mahusiano haya ni makubwa mno,ni kama ananilipia mimi kisasi kwa ubaya aliofanyiwa na mkewe ilhali mimi sikuwahi kumkosea kwa namna yoyote Sent using Jamii Forums mobile app
  9. D

    Unafurahia mahusiano yako?

    namuombea sana mpaka wakati mwengine nahisi Mungu alinileta kwake kwa kusudi fulani,kila nikitaka kumwacha moyo unakataa kabisa penzi langu kwake limejawa na huruma iliyopitiliza,kunawakati namtumia msg au nampigia wala hapokeagi kabisa simuyangu akiona nasumbua sana atajibu niko ofisini,lakini...
  10. D

    Unafurahia mahusiano yako?

    hata mimi mahusiano yangu yatawaliza wengi[emoji22] Sent using Jamii Forums mobile app
  11. D

    Unafurahia mahusiano yako?

    mimi najutia niko na mwanaume aliyetendwa sana na mkewe,mke alikuwa malaya wa kutupwa,anafanywa mpaka na wafanyakazi wenzake na huyo bwana,akiwa mzazi wa miezi 3 tu halali ndani mtoto anamwachia dada wa kazi,mume siku akarudi home saa 8 usiku ghafla alikuwa safari kakuta mtoto anachemka homa...
  12. D

    Hivi kuna sayari zingine chini ya ardhi baada ya dunia?

    mawazo kama haya ya huyu mtoa mada nilikuwaga nayo nikiwa darasa la 3[emoji23]nkawa nasema kama dunia ni ya 3 basi mbili ziko chini ya 3 dunia ya 4 mbingu tunayoiona yani anga ya tano inafata huko mbele ya anga nakuendelea,yani kila mtu lazima aliwaza hivi enzi za utoto ile ukishasoma geography...
  13. D

    50 killed in New Zealand after gunmen attack Mosques(Waislamu wavamiwa Msikitini New Zealand; 50 wauawa)

    [emoji2][emoji2][emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
  14. D

    Mrejesho tiba ya mkojo

    vipi nasikia kama unataka kumwacha mpenzi mwenye visa umpendaye na umeshindwa kabisa eti mkojo wa asubuhi unasaidia kumsahau kabisa na kuweza ku move on bilashida moyo mweupe na utamsahau mazima,jeh hili ni kweli au figisu? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. D

    Mrejesho tiba ya mkojo

    umenikumbusha mbali dah Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom