simba wa dodoma
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 930
- 1,022
huo mkojo veep alafu umeamka na hang over ya konyagi
Mmh! Acha ushirikina ndg.Mi nilikuwa nakunywa ninaobarikiwa kumaliza lakini mwingi kiasi cha kikombe kidogo. Nilinunua magi yangu zile za kuogea nikawa naisafisha alfajiri nakinga koja nanywa mwingine nasukutua na kupaka uso kupunguza hila za mahasidi.
We nawe mtu usiojulikana itakuwa Albadili ishaanza sasa hapo ushirikina uko wapi. Kwani so mkojo wako mwenyewe huchanganyi na chochote na hakuna masharti yyt .Mmh! Acha ushirikina ndg.
Hats Mimi Nina mashaka na hill .otherwise sins kinyaa!Magonjwa ya U.T.I kisonono Kaswende.Kichocho na mengine mengi yanatambulika kupitia kupima mkojo.ni kwa fikra zangu je VIP ukinywa mkojo na pengine upo ktk maambukizo ya magonjwa hayo bila kujua si ndo kupeleka bacteria tumbon tena au..
Unatakiwa kunywa maji mengi mchana na jioni kusafisha kibofu, utatoka mkojo mweupe usio na harufu Kali. Kipindi hicho cha Dozi natumai utaweka pembeni kama siyo kuacha hizo konyagi mkuuhuo mkojo veep alafu umeamka na hang over ya konyagi
Wakati tunasubiri majibu ya kitaalamu , mi kwa ufahamu wangu mdogo tu ni kwamba ule mkojo umaingia tumboni ambako kuna Kemikali nyingi ikiwemo Acid al maarufu maji ya betrii ambako hivyo vimelea vya magonjwa vitauliwa kabla ya kufika kwenye utumbo mwembamba huko dawa iliyoko kwenye mkojo itafyonzwa na Utumbo Mdogo(absorption) ili kuipeleka kwenye Damu tayari kwa kusambazwa sehemu zenye matatizo.Magonjwa ya U.T.I kisonono Kaswende.Kichocho na mengine mengi yanatambulika kupitia kupima mkojo.ni kwa fikra zangu je VIP ukinywa mkojo na pengine upo ktk maambukizo ya magonjwa hayo bila kujua si ndo kupeleka bacteria tumbon tena au..
Mimi nilisha wahi kuweka Thread inayohusu Tiba ya Mkojo wako mwenyewe unatibu Maradhi mengi tu. Kwa kifupi Mkojo wako mwenyewe ni dawa ya maradhi mengi lakini watu wengi hawajuwi.Habari wana jamvi. Miezi kama Mitano hivi iliyopita kuna mwanajamvi aliweka thread hapa akieleza jinsi mkojo unavyoweza kutibu Jino na Vidonda vya Tumbo.
Binafsi nilikuwa nasumbuliwa sana na vidonda vya Tumbo hali iliyonitishia kufunga Mwezi Mtukufu. Nimezoea kufunga pia Suala jingine nililokuwa nafikiria ni ile Faini ya Kulisha Masikini kila Siku kwa Siku zote 30 za Mfungo wa Ramadhani kama sitoweza kufunga kutokana na Maradhi. Nilipiga hesabu kwa kima cha chini kabisa ni 7000 * 30 = 210,000/= . Bado nitoe Zakat Fitiri Kilo 3 za Mchele kwa kila mtoto na Wakishamaliza Kupendeza Sikukuu July Niwasafirishe kwenye kwenda Shule.
Nilisali na kuomba Mungu anisaidie niweze kupata dawa niendelee kufunga sababu pia nisingeeeza bila kufunga nishazoea ni Mila niliyokulia nayo. Baada ya kupitia thread mbalimbali ya dawa za Vidonda vya Tumbo humu JD nikakutana na Post ya Mkuu mmoja hivi nishasahau Id yake ikieleza dawa ya Mkojo wa Asubuhi Dozi ya Siku tatu mfululizo.
Ilibaki Siku kama Tano kuanza Mfungo wa Ramadhani 2017 na hali yangu ilikuwa dhaifu, basi nilijipa moyo nikaondoa kinyaa ambacho kimenijaa, nikaanza Siku ya Kwanza , ya Pili na ya Tatu. Baada ya hapo nikaona Tumbo kimya. Siku ya NNE nikakaa nusu Siku bila kula nikaona Tumbo kimya. Niashukuru Mungu , Siku ya Tano Kimya ya Sita Ramadhani nikanuia nikaanza mzigo , Wakuu Nawashuhudia Nilimaliza Mfungo na Sita nikafunga Siku NNE baadae nikaanza kusikia Vichomi Tumboni nikaacha nikatafuta Magnesium likapoa. Lakini tangu July hadi leo hata nikae hadi SAA Kumi Tumbo halinisumbui najiona Kama Nimepona Vidonda Vya Tumbo na Jino kwa Gharama Zero 0 kupitia Tiba ya Mkojo wangu mwenyewe.
Basi nitoe Wito tu kwa wale Wanaosumbuka na Vidonda vya Tumbo na Meno Vaaeni Ujasiri jitibu wenyewe , tuache kujinyanyapaa kwani hata hizo dawa za Viwandani au Za Waganga wa Asili hatujui wanaweka nini, Mimi nimepona sipendi nawe Uteseke.
Pia nimekuja ona Tiba nyingine tena ya Mkojo ni kama kuna MTU ameanguka vile kama degedege au kifafa watu huenda Msalani au bafuni zile za sakafu ya Asili na kuchukua ule udongo uliolowana na kumpaka. Mtu akinywa sumu au kazidiwa na pombe pia watu humnywesha Mkojo na anaamka.
Sijui kitaalam kuna nini kwenye Mkojo.
Karibu na Ahsante Jf Doctor be blessed. Amina.
Ayaa! Hujui kama mkojo ni najisi kisheria katika dini? Halafu unaenda mbaali hata kuchukua uchafu wa chooni na kumpakaa mtu! Hivi ndivyo imani ya dini inavyo fundisha? Kama una imani huwezi kufanya ujanja ujanja kuepuka gharama za kutekeleza wajibu kwa kulisha wengine, inaonekana wewe ni mchoyo wewe!Habari wana jamvi. Miezi kama Mitano hivi iliyopita kuna mwanajamvi aliweka thread hapa akieleza jinsi mkojo unavyoweza kutibu Jino na Vidonda vya Tumbo.
Binafsi nilikuwa nasumbuliwa sana na vidonda vya Tumbo hali iliyonitishia kufunga Mwezi Mtukufu. Nimezoea kufunga pia Suala jingine nililokuwa nafikiria ni ile Faini ya Kulisha Masikini kila Siku kwa Siku zote 30 za Mfungo wa Ramadhani kama sitoweza kufunga kutokana na Maradhi. Nilipiga hesabu kwa kima cha chini kabisa ni 7000 * 30 = 210,000/= . Bado nitoe Zakat Fitiri Kilo 3 za Mchele kwa kila mtoto na Wakishamaliza Kupendeza Sikukuu July Niwasafirishe kwenye kwenda Shule.
Nilisali na kuomba Mungu anisaidie niweze kupata dawa niendelee kufunga sababu pia nisingeeeza bila kufunga nishazoea ni Mila niliyokulia nayo. Baada ya kupitia thread mbalimbali ya dawa za Vidonda vya Tumbo humu JD nikakutana na Post ya Mkuu mmoja hivi nishasahau Id yake ikieleza dawa ya Mkojo wa Asubuhi Dozi ya Siku tatu mfululizo.
Ilibaki Siku kama Tano kuanza Mfungo wa Ramadhani 2017 na hali yangu ilikuwa dhaifu, basi nilijipa moyo nikaondoa kinyaa ambacho kimenijaa, nikaanza Siku ya Kwanza , ya Pili na ya Tatu. Baada ya hapo nikaona Tumbo kimya. Siku ya NNE nikakaa nusu Siku bila kula nikaona Tumbo kimya. Niashukuru Mungu , Siku ya Tano Kimya ya Sita Ramadhani nikanuia nikaanza mzigo , Wakuu Nawashuhudia Nilimaliza Mfungo na Sita nikafunga Siku NNE baadae nikaanza kusikia Vichomi Tumboni nikaacha nikatafuta Magnesium likapoa. Lakini tangu July hadi leo hata nikae hadi SAA Kumi Tumbo halinisumbui najiona Kama Nimepona Vidonda Vya Tumbo na Jino kwa Gharama Zero 0 kupitia Tiba ya Mkojo wangu mwenyewe.
Basi nitoe Wito tu kwa wale Wanaosumbuka na Vidonda vya Tumbo na Meno Vaaeni Ujasiri jitibu wenyewe , tuache kujinyanyapaa kwani hata hizo dawa za Viwandani au Za Waganga wa Asili hatujui wanaweka nini, Mimi nimepona sipendi nawe Uteseke.
Pia nimekuja ona Tiba nyingine tena ya Mkojo ni kama kuna MTU ameanguka vile kama degedege au kifafa watu huenda Msalani au bafuni zile za sakafu ya Asili na kuchukua ule udongo uliolowana na kumpaka. Mtu akinywa sumu au kazidiwa na pombe pia watu humnywesha Mkojo na anaamka.
Sijui kitaalam kuna nini kwenye Mkojo.
Karibu na Ahsante Jf Doctor be blessed. Amina.

Swali zuri, naomba nijibu kwa kifupi japo si tabibu.Magonjwa ya U.T.I kisonono Kaswende.Kichocho na mengine mengi yanatambulika kupitia kupima mkojo.ni kwa fikra zangu je VIP ukinywa mkojo na pengine upo ktk maambukizo ya magonjwa hayo bila kujua si ndo kupeleka bacteria tumbon tena au..
Yaani we Jimmy utaendelea kuteseka na maradhi ukiogopa najisi, tiba haina najisi hujaumwa ndugu subiri yakikusibu hata ma** utang'ata .Ayaa! Hujui kama mkojo ni najisi kisheria katika dini? Halafu unaenda mbaali hata kuchukua uchafu wa chooni na kumpakaa mtu! Hivi ndivyo imani ya dini inavyo fundisha? Kama una imani huwezi kufanya ujanja ujanja kuepuka gharama za kutekeleza wajibu kwa kulisha wengine, inaonekana wewe ni mchoyo wewe!![]()
Yaani we Jimmy utaendelea kuteseka na maradhi ukiogopa najisi, tiba haina najisi hujaumwa ndugu subiri yakikusibu hata ma** utang'ata ukiambiwa ni dawa .Ayaa! Hujui kama mkojo ni najisi kisheria katika dini? Halafu unaenda mbaali hata kuchukua uchafu wa chooni na kumpakaa mtu! Hivi ndivyo imani ya dini inavyo fundisha? Kama una imani huwezi kufanya ujanja ujanja kuepuka gharama za kutekeleza wajibu kwa kulisha wengine, inaonekana wewe ni mchoyo wewe!![]()
Najisi ni mkojo wa binadamu tu? Google matumizi ya mkojo wa ngamia ni akina nani waliambiwa wanywe mkojo wa ngamia, kwanini waliambiwa waunywe na waliambiwa na nani? Nipe jibu ndugu yangu katika imani, ninachopenda mimi daima tunafundishana na hata tukibishana mwisho muafaka hupatikana.Ayaa! Hujui kama mkojo ni najisi kisheria katika dini? Halafu unaenda mbaali hata kuchukua uchafu wa chooni na kumpakaa mtu! Hivi ndivyo imani ya dini inavyo fundisha? Kama una imani huwezi kufanya ujanja ujanja kuepuka gharama za kutekeleza wajibu kwa kulisha wengine, inaonekana wewe ni mchoyo wewe!![]()
Kwanza ujuwe neno najisi ndio kisha uje hapa kumlaumu huyo Bibie.@SWEET RIZIKI Najsi kutumia kama tiba haijakatazwa katika Dini ya Kiislam. Imekatazwa kitu kinacho itwa Haramu kama nyama ya Nguruwe,Pombe,na damu. Neno Najisi kwa lugha ya kiarabu kwa lugha ya kiswahili ni uchafu na mkojo una uchafu mdogo kuliko tiba, lakini mkojo wako wa Asubuhi ni Tiba ya kila maradhi hata kama kuna Daktari humu ndani aje na elimu yake ya U-Daktari aje kunipinga ninawakaribisha Ma-Daktari mabingwa waje kunipinga humu ndani kuhusu Tiba ya Mkojo wako wa Asubuhi kabla ya kula kitu.Ayaa! Hujui kama mkojo ni najisi kisheria katika dini? Halafu unaenda mbaali hata kuchukua uchafu wa chooni na kumpakaa mtu! Hivi ndivyo imani ya dini inavyo fundisha? Kama una imani huwezi kufanya ujanja ujanja kuepuka gharama za kutekeleza wajibu kwa kulisha wengine, inaonekana wewe ni mchoyo wewe!![]()
Aiseee! Hivi ile dawa walikua wanaita mkojo wa punda bado ipo?