Recent content by Doswe Dossena

  1. Doswe Dossena

    Tujuane tuliochapiwa Wake zetu, wachumba, wapenzi wetu baada ya Kuyumba Kiuchumi

    Ina maana huyo Mwanmke wako walimpiga mande au nimeelewa vibaya boss!? Na uligunduaje?
  2. Doswe Dossena

    Kwanini Mwanamke akikupenda na ukamkatalia kuwa nae kwenye mahusiano anakuchukia na kukuchukulia kama adui yake wa wazi.!?

    Salaaaaaaam.! Hii imekaaje wakuu.! Mwanamke akikutaka kwa kukushawishi au kukutongoza kabisa ila ukamkatalia kuwa nae hata kwa njia za kistaarab na kiuungwana lazima ajenge chuki juu yako.!?
  3. Doswe Dossena

    Ramadhan Special Thread

    nitumie namba yako ya whtsp PM Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Doswe Dossena

    Ramadhan Special Thread

    Naomba nitoe Swadaqa yangu ya Mwez mtukufu kwenu ndugu zangu ktk Iiman. Mwenye kuhitaji darasa za tafsir ya Qur'an za Sheikh Msellem Ally msellem anicheki PM.. Nakuhakikishia hutojuta na utanufaika sana kupitia audio hzo.. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Doswe Dossena

    Ramadhan Special Thread

    katika wale masheikh yupo m1 anaitwa Msellem Aly... ni miongon mwa wanadam ninaowahusudu sana kutokana na ufundishaj wake ni jins anavyoitumia elim yake kunufaisha wengne.. Allah amjaalie kila lenye kher duniani na Akhera Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Doswe Dossena

    Boxing | Arturo Gatti v Micky Ward: Pambano bora la muda wote

    zama za Kina Muhammed Aly sie wengne bado hatukuwa duniani. Ila tulibahatika kuwashuhudia mabondia wa kwl AkinaMyke Tyson, Evander Holyfield, Lennon Lewis, Bruno na wengine.. hawa mabwana kwl walikuwa wanapiga makonde si mchezo. Ila mabondia hawa wa kileo kuanzia Uzito wa juu akina Anthony...
  7. Doswe Dossena

    Punching power: Evander Holyfield, Mike Tyson na Lenox Lewis

    Nakubaliana naww kwa 100% ktk hayo maelezo yako kwa Evander Holfield na Mike Tyson.. umeelezea vyema sana na umepita mule mule. Lewis skuwah mfuatlia sana
  8. Doswe Dossena

    Je, ni kitu gani ulishawahi jutia kukifanya katika maisha yako ya mapenzi?

    habari zenu?.. bila shaka weekend imeenda vyema mpaka dakika hii.. twende katika mada husika.... kama kisemavyo kichwa cha habari.. Je ni jambo gani ulilowah kulifanya I sha ukaja jutia baadae ktk ulimwengu wako wa mapenz?.. 1- nilivunja ratiba zangu na kunfuata dem umbal kiasi, nilipokuatana...
  9. Doswe Dossena

    Waganga wa kienyeji huwatafuna sana wake za watu

    Bila shaka weekend imeenda vyema kwenu kama ilivyo kwangu Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna uvumi ya kuwa wanawake wengi sana huingiliwa kimwili na waganga wa kienyeji aidha kwa matakwa yao au kwa masharti husika ya muda huo na inasemekana wanawake wengi waendao kwa waganga hukumbwa na...
  10. Doswe Dossena

    Sijawai kusikia ndoa ya wake wengi wameuana mume na mke... muslims smart policy

    hilo lipo wazi. ila najua watu tutabisha kutokana udini tu lkn tukubal tukatae mwanaume kutulia na mwanamke m1 haiwezekani labda uwe na matatzo
  11. Doswe Dossena

    All about ALPHA BLONDY

    mdau nina shida kdg ktk hzo nyimbo za Alpha blondy natka nikuulize
  12. Doswe Dossena

    Mnaosema kwamba mke hachunguzwi piteni hapa

    mkuu umetumia hyo lugha ya watu kusumbua akili zetu utadhan ada za shule ulikuwa unatulipia wewe..... Huu uzi watu wameupitia mbali mana wameona kizungu zungu tu..
  13. Doswe Dossena

    Yuko wapi Pendaeli Omari..?

    Nawasalimu. Yuko wapi Pendaeli Omari aliyekuwa anafanya kazi ya utangazaji TBC1... yule jamaa ni hodari wa kuandaa vipind na kutangaza pia, anajua kuipamba taarifa na kumshawishi mtazamaji, binafsi nilimjua miaka ya 2009.. kupitia kipindi cha kila siku cha jambo Tanzania kilichokuwa kinarushwa...
Back
Top Bottom