Recent content by Dorrlyn

  1. D

    JamiiForums Tanzania Muda wa ku-apply Green Card lottery umeisha

    Kwa quality of life USA is far much better, kwa sasa kazi ni nyingi sana na hawana watu. Elimu ni bure kama una watoto watasima bure na wanapata best education hapo kwetu ukitaka hiyo best education ni pesa ndefu sana.
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada yangu ananipa hasira, alikimbia ndoa baada ya mwaka sasa yupo kwa wazazi

    Pole sana ila huyo ni damu yako na watoto wako watamuita shangazi. Usishangae wana rithi hizo tabia. Wewe jinyamazie ombea watoto wako wasiwe hivyo tu.
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chakula nchini Kenya ni tatizo kubwa

    Pamoja na njaa zao ila kwa Olympic hata gold medal wanazo sisi tulioshiba sijuiw tumeshiba mpk tunavimbiwa hata kukimbia hatuwezi. Wakenya kama umewagunduaw huwa priority zao sio chakula wala mavazi kama sisi.
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kufukua makaburi bila sababu inatokana na nini?

    Ni kichaa kweli kweli yaani alikuwa ana revenge ile mbaya halafu kwa umri wake tulibaki tunashangaa.
  5. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kufukua makaburi bila sababu inatokana na nini?

    Hahaha nakumbuka wifi yangu alimwambia kaka wkti ni mgonjwa si uwafuate hao ndugu zako waku uguze maana wao si ulikuwa unawaona wa maana mimi ukaniona ni bwege mtozeni 😂😂
  6. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kufukua makaburi bila sababu inatokana na nini?

    Hujawajua wanawake huwa hawasahau hata kama ni miaka 50 iliyopita. Utashangaa umezeeka zako una miaka 80 unaumwa mke na yeye ni kikongwe ila atakuambia wale wanawake zako uliokuwa unahangaika nao wako wapi? Si waje kukuuguza. Ukimkuta mkorofi nzaidi atakutajia jina mpk eneo na hao michepuko wako.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo (kuhusu kuvunjika kwa penzi lake na mlimbwende Irina Shayk)

    Umesema ukweli upendo wa mama kwa mtoto ni wa damu ila upendo kwa mke unaunganishwa na watoto wenu. Hata mama ako si ndugu wa babako but siku ukiona mama ako anamistreat babayako hutafurahia kabisa kwa kuwa baba na yeye ni damu yako. Mke unakula nae kiapo kile kiapo huwa una ingia na Mungu so...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo (kuhusu kuvunjika kwa penzi lake na mlimbwende Irina Shayk)

    Nikiwa kama mama always huwa nawaambia vijana wangu waheshimu sana wake zao maana hao ndio mama za watoto na hao ndio watabaki nao. Mimi siku zangu zinahesabika umri umeenda hata leo nikisikia kijana wangu ni mgonjwa sitaweza kwenda kumuogesha ni huyo mke wake ndio anaweza. Nikifa atabaki na...
  9. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kanificha mengi, naomba ushauri

    Kama una bibi kaa nae akufunde kuhusu behavior za wanawake
  10. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kanificha mengi, naomba ushauri

    Kama wewe ni mwanamke it is ok ila kama ni mwanaume nenda kwa mama ako akufunde
  11. D

    JamiiForums Tanzania Samia tumaini jipya Tanzania: The Economist baada ya kumsakama sana Magufuli, sasa angalau lina matumaini na Samia, laanza naye vizuri

    Power huwa inawapanda kichwani ila ni watendaji wazuri
  12. D

    JamiiForums Tanzania PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

    Wote hao yeye na mwendazake wanatoka same zone ni mipaka tu imetutenganisha ila tabia na hulka ni zile zile .
  13. D

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na wanaoitwa wanyonge

    Mabasi kutembeaw usiku?
  14. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji zangu wakurya sasa dunia imebadilika

    Inategemea ila kuna koo zinawaambiwa mabinti zao kaeni mbali na hao wanyama. Kuna binti wa rafiki yangu alileta kijana kutoka kanda pendwa baba ake alimwambia kaa mbali na hao wanyama. Binti anasema wanyama gani ni watu akamwambia waangalie vizuri na usitake ni kuachie laana maana utaniharibia...
  15. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama mkwe hataki niolewe na mwanaye kisa mimi ni Mchaga

    Miaka 30 mbele huyo mama mkwe hata kuwepo na hata watoto wasipokubalika haijalishi maana hao watoto ni wao wamakuwa na si wachaga.
Back
Top Bottom