kilakala, kichangani, kiwanja cha ndege, bigwa zote katika manispaa ya morogoro ni giza totoro, wanasherie na wapenda maendeleo tuongozeni tufanyeje, kwa kweli tunachezewa rafu sana na ccm, hakuna katiba ya wananchi itakayopatikani ni katiba ya ccm, tuchukue hatua tafadhali