Recent content by Dorcas21

  1. D

    JamiiForums Tanzania Dada mlemavu anatafuta ajira

    Mungu akubariki ,
  2. D

    JamiiForums Tanzania Dada mlemavu anatafuta ajira

    Hana connection yoyote, ameniomba nimsaidie kutuma tangazo humu, kama anaweza kupata msaada
  3. D

    JamiiForums Tanzania Dada mlemavu anatafuta ajira

    Habari zenu, Kuna dada mmoja ana mtoto mlemavu, mwanaume amemkataa kisa amezaa mlemavu, sasa amehangaika amesomea mipango miji, Anahangaika kutuma maombi ya ajira sehemu mbalimbali, lakini amekosa, na anapata changamoto kumlea mtoto, anaomba msaada wa kazi yoyote aweze kujihudumia yeye na mwanae.
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Looking for serious relationship

    Hello! Good morning everyone, my name is Dorcass, age 30 years, single, I don't have kids. I am looking for serious man later to be my husband. I need a person who loves himself and fear of God. First must be a Christian. I need someone older than me age between 35-40. Must be government or...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Testmony face cream

    Jipatie testimony face cream,kiboko ya chunusi,madoa ,makunyanzi,na inakupa mng'ao wa asili, utaipata kwa 25,000. Dodoma, mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa. Pia tunahitaji mawakala
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Barabara ya Kilombero mkandarasi anaidai Serikali?

    UJENZI WA BARABARA KILOMBERO MKANDARASI ANAIDAI SERIKALI? Mheshimiwa Rais, wilayani Kilombero, mkoani Morogoro, miradi mingi ya kimaendeleo ambayo inatumia fedha za umma haikamiliki kwa wakati. Iko mingi sana lakini kilio hasa ni huu mradi wa ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami, ya urefu wa...
  7. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kiume

    Habari zenu, mimi ni msichana wa kitanzania, nina umri wa miaka 30, dini mkristo (roman Catholic) natafuta rafiki wa kiume wa kuniliwaza, nimeumizwa sana na mpenzi niliyekua naye, najihisi mpweke ila sitaki kurudiana naye.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kuimba naye

    Ninakipaji cha kuimba na kutunga nyimbo za gospel, tatizo sina mfadhili wa kuniwezesha kurekodi,hivyo naomba mtu anishirikishe hata kwenye nyimbo yake ili niweze kujitangaza
  9. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina certificate ya Mipango Miji

    Kuna somo tunasoma pia ambalo unaweza kufanya kazi kama store keeper tumesoma hesabu , commerce and book keeping
  10. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina certificate ya Mipango Miji

    Habari, Natafuta kazi, nina certificate ya mipango miji, naweza kufanya pia store keeper, Naomba msaada wenu
  11. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yanaumiza

    Asante
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yanaumiza

    Asante
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yanaumiza

    Asante sana kwa ushauri mzuri na kunitia moyo,nitafanyia kazi . ubarikiwe sana
  14. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yanaumiza

    Asante kwa ushauri
  15. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yanaumiza

    Kwanini wanaume mnatuumiza wanawake hisia zetu, najuta kupenda. Nilikua na mwanaume nilimpenda haswaa na ndiye mwanaume wangu wa kwanza, nina miaka 30, tatizo la huyu mwanaume ni malaya sanaa, anawanawake wengi, sasa nimeamua kumuacha, japo nikikaa namkumbuka lakini sitaki niendelee kuumia...
Back
Top Bottom