Recent content by doper

  1. doper

    JamiiForums Tanzania LBL: Pyramid Scheme Inayowatapeli Watu kwa Kisingizio cha Uwekezaji

    Mkuu mimi hoyo fic nilishauriwa kujiunga, ila nimetoa pesa yangu yote tangu jana,maana siwaamini
  2. doper

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kwanini whatsapp GB inaomba udownload official apps? GB inaondolewa?

    Mi yangu ilikubali hapo hapo bila shida kutok fm.whatsap to oficial whatsap
  3. doper

    JamiiForums Tanzania Shule ya English Medium imegoma kumuhamisha mwanangu. Hatiani kukosa mtihani wa darasa la nne

    Kweli mkuu, huo ushauri auzingatie inaweza kusaidia
  4. doper

    JamiiForums Tanzania Shule ya English Medium imegoma kumuhamisha mwanangu. Hatiani kukosa mtihani wa darasa la nne

    Tatzo huo mfumo wa kulipa ada kwa mtu binafsi ndo lilipo anzia, solution hapo ni shule ipate haki yake, huyo mwalimu pambana naye indivudual ila shule haihusiki
  5. doper

    JamiiForums Tanzania FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

    Kweli mkuu,yani cjui anampendea nini huyu
  6. doper

    JamiiForums Tanzania Lodge nzuri Temeke

    Mkuu mbona umempa kila la kheli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  7. doper

    JamiiForums Tanzania Old School: Je, Unazikumbuka nyimbo na wasanii wa Bongofleva wa enzi hizo?

    Hekaheka za dent na ticha G solo ft inspector haroun
  8. doper

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    Kweli mkuu, story anoengeza vitu vingine hata havina maana,
  9. doper

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    CBM crew, kaimba AY na na marehem Vivi, wimbo unaitwa yatupada
  10. doper

    JamiiForums Tanzania PC Emanuel Keralyo Waitara, mmoja wa askari aliyeuawa na Hamza

    JembeKillo, Mkuu jana wametoka kumpiga dereva wangu wa daladala hapo banana bila sababu, eti wana haraka kwanini anasabisha foleni, walivyojibiwa kuna ajali, kuna gari zimepigana pasi, ndo wanashangaa wakati wameshamuumiza mkono hadi umevimba balaa na kidonda juu. Wanatumia nguvu nyingi, akili...
  11. doper

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa Tyre na battery za magari aina zote

    Unazo tairi size 215/ 17.5 za nissan civilian tubeless, na wauza bei gan
  12. doper

    JamiiForums Tanzania Nimepatwa na tatizo kwa sababu ya uzembe na niko hatarini kupoteza kazi

    Mkuu umeuaa kila kitu, huyu dogo ni mtoto bado anakuwa so anakaa bila kazi anatunga uongo wake kuleta JF
  13. doper

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Mwenyekiti wa BAWACHA baada ya Viongozi kutimuliwa?

    Apewe Upendo Peneza
  14. doper

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

    Pamoja mkuu, nimeweka jino moja tu mswaki wanini kitu imekubali
  15. doper

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Ushauri: Unaehitaji kununua mashine Tanzania

    Mkuu na blender hizo za lita 4 bei gani
Back
Top Bottom