INAUZWA Ushauri: Unaehitaji kununua mashine Tanzania

Job Richard

JF-Expert Member
Feb 8, 2013
3,865
2,176
Ushauri:

unahitaji mashine hizi hapa Tanzania najidakia Store tupo kwa ajili yako

Wengi wanatapeliwa au kupewa mashine ambayo hakuichagua sababu kuu hawauziwi dukani au ofisini hana sehemu ya kuwasilisha lalamiko Lake

KWA MASHINE BORA NAJIDAKIA TUPO TUNASAIDIANA KATIKA UJASIRIAMALI UPATE KILICHO BORA 0762612213 STORE YETU IPO ILALA DUKA MSIMBAZI KARIAKOO


MASHINE ZA JUISI YA MIWA TUNAZO AINA ZOTE MBILI
ZA KUTOKA CHINA BEI ZAKE -1250000(MILLION MOJA LAKI MBILI NA NUSU)

MASHINE ZA KUKATA NYAMA ZINAANZIA MILLION MOJA NA LAKI TATU TU (1300000)

MASHINE ZA ICE CREAM MILLION MBILI NA LAKI TANO TU(2500000) UTATENGENEZA ZAIDI YA LITA 200

MASHINE ZA CHOCKSTICK ZIPO AINA MBILI TRAY MOJA MILLION TATU TU NA TRAY MBILI MILLION NNE TU

MASHINE ZA POPCORN LAKI TATU NA NUSU TU (350000)
ZA GESI LAKI SITA TU(600000)

MASHINE ZA BAKERY AINA ZOTE ZIPO

*Unahitaji kuanzisha bakery au mashine mojawapo katika bakery,mgahawa au hoteli hapa najidakia store unazipata inapatikana Ilala Dar es salaam*
Simu 0762612213

Mashine zilizopo najidakia store
Oven list yake hii
1layer na tray 1&2 umeme 1300000
Na kwa gas 1900000

2layers na tray 4 umeme 2800000
Gas 3200000

3layers na tray 6 oven umeme 4000000 na gas 4200000

3layers na tray tisa hii ni pana sana umeme 6.8m na gas 7.6m

Displays

Hizi zipo aina tofauti
Zipo millioni 4
Millioni mbili na laki nane


Juice dispensers

Tray mbili 950000
Tray tatu 1400000

Mixers

Cake mixer 2.5kg hizi laki saba tu
Cake mixer 8kg 1.3m
Cake mixer 12.5kg 2m
Cake mixers 25kg 4.8m

Spiral mixers 12.5kg 2m
Spiral mixers 25kg 4.5m
Spiral mixers 50kg 9m

PROOFER

Proofer zipo aina Mbili mlango mmoja -laki tisa na nusu na milango miwili million moja na laki nane

DISPLAYS

ZIPO ZA 1900000
2800000
4000000 N. KNazidi kuziweka hapa na bei zake

IMG_20200730_131754_827.jpeg
IMG_20200730_120900_116.jpeg
IMG_20200719_165225_681.jpeg
IMG_20200803_195318_925.jpeg
IMG_20200803_195604_663.jpeg
 
Duuh hizo bei
Ok sawa kila mtu ana bei yake soko huria
 
Habari Mkuu!! Vipi mashine za kutengeneza siagi ya karanga mnazo?? Bei gani??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom