Recent content by doomedcity

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ni mafao gani anayostahiki kupata mtu ambaye amefukuzwa kazi serikalini

    Habari wakuu! Natumai mko poa kabisa Moja kwa moja kwenye mada hapo juu Ni mafao gani anayostahili kupata mtu qmbaye kafukuzwa kazi serikalini kwa kosa la kinidhamu? Naomba kuwasilisha wakuu
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mnaokaa mbali na Familia zenu mnapambana vipi na hii hali?

    Aisee mkuu we acha tu , hii hali ilikua ikifika siku ya safari asubuh yake naamua kumuaga wife kwa machozi naondoka kabla hata watoto hawajaamka maana nikiwaona huzuni zao ninaweza kughairisha kuondoka
  3. D

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Ndoa inaelekea kunishinda sina namna, naumia sana

    Pole sana we umeona wapi wazaramo wanaolewa?? Pambana na janga lako
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa Mkoa wa Mara mmekumbwa na nini tena? Matukio ya ajabu kila kukicha!

    Nilipangwa huo mkoa kikazi , nahis kama ilikua adhabu kwangu daah aisee watu wake ni washamba hatari na mazwazwa
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ni Mwanayanga mwenzangu lakini kwa hili nimemdharau sana

    Dogo niliwahi kuskia kua ni shoga , wenye habari kamili tupeni basi Wnaliwa na nani huyu dogo ??
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nimestaarabika jioni sana, sasa rasmi niko mtaani

    Daah , asante kwa story yako mzee , nimejifunza mengi sana na nilikua nimeshakata tamaa baada ya kupoteza muelekeo wa ajira yangu kwenye umri wa 32 ila kwa story yako hii naini bado nina nafasi wacha niwe na matumainj Kila la kheir pata siku utembelee zanzibar kuna so beautiful places you have...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nilipokuwa nasikia watu wakizungumza nilikua nikifikiri ni mitazamo tu, lakini Leo nalishuhudia. kwa rafiki yangu. so sad

    Oohoo leo kuna ndugu yangu kavuta jiko ambalo tayar lina watoto wawili Vip nimpe R.I.P in advance?
  8. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Vituo vya mwendokasi ya Mbagala vinajengwa chini ya kiwango

    Kila nikipita nikiviona hivyo vituo vinavyojengwa hua nacheka sana
  9. D

    JamiiForums Tanzania Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

    Sio mafinga tu HIV vijijini mkoa wa mara pia napo ipo ya kutosha Nilienda huko kwa kazi ya mkataba hii miradi ya wadau wanao support wanaoishi na HIV aisee Nimekoma kwenda huko katu sirudii Binafsi nimetumia pep mara 2 pia nimezika wengi tu na kushuhudia vijana wadogo sna wakiteseka na hilo...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Vigogoni gani wataondoka baada ya mkutano wa Kariakoo?

    Kwa serikali hii akiondoka ata mmoja niite mbwa koko nipo paleew
  11. D

    JamiiForums Tanzania Looking for God fearing husband who is ready to settle

    Haya nendeni mkamkabidhi huyu dada shingo zenu azitie chain awaburuze kama mbwa
  12. D

    JamiiForums Tanzania Nilikutana na mzungu asiye na hela kwenye "Dating app"

    Wewe si nilikushauri utumie ablo huko ndo utawanasa wa kishua hukuniskia[emoji1787][emoji1787]
  13. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume mbarikiwe sana

    Hizi malaya nimezifukunyua sna nyuchi zao bila kuwapa lolote zaid ya nauli ya daladala Principles yangu : ninae mhudumia ni mke wangu tu
  14. D

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    R.I.P mzee mara ya mwisho tulikutana hotel flan na huyu mzee akanipa maneno ya kupambana sna kama kijana
Back
Top Bottom