Tusilazimishane kwamba eti kafanya mazuri tu oooh blabla, kila mmoja ana haki ya kuona katika angle yake, na sio dhambi ndo diversity ya ubinadamu.
Marehemu atabaki kwa historia kama rais aliyebinya demokrasia zaidi, rais alieiba kura kupindukia, rais aliyefunga kila aliyemkosoa, rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.