Ondoa upumbavu wako hapa, mods pigeni ban hii takataka, ikiwezekana ukamatwe mara moja utueleze una ushahidi gani na kwanini unaendelea kuzua taharuki kwenye jambo ambalo rais alishalitolea ufafanuzi.
Mbona kama unamtishia bana.kwani hukusikia Ile hearsay.
Mzee wakati amekatalia chato wakamsema mtandaoni kuwa mbona hauonekani ikulu ndo walikuwa wanamuita.
Watu walijiona nchi ni Yao huyu akaomba uwaziri mkuu kuwa ndio unaomfaa mwingine akaomba uwaziri wa fedha kuwa yeye ndiye afaaye kuuongoza fedha zetu.
Saivi kigogo hashambulii uongozi ulioko madarakani amehamia mpaka kwa wasanii.
Unajua ni kwa Nini mlinzi wake mmoja alifariki lakini wa jpm.
 
Kigogo gani unaemsemea kua haushambulii uwinfozi Wa sasa.
 
Kila upande na sehemu mbalimbali watu wanaendelea kuamini JPM hakufa kifo cha kawaida!

Binafsi naisihi Serikali iunde jopo la wataalamu wa afya wachunguze kifo cha huyo bwana Hayati Magufuli.

Kuiacha hiyo dhahania iendelee kuishi ndani ya mioyo ya watu ni sawa na kulea bomu ndani ya nyasi zenye ute ute wa petroli.

Ni muda mwafaka sasa Serikali ichunguze kifo cha JPM na itoke matokeo wazi.
Ulitaka nani auwawe?
 
Kama wasaidizi wake wengi waliondoka katikati ya janga la Corona basi nae hakuwa na jinsi zaidi ya kuwasindikiza.
 
Basi amfuate uko uko chato hiyo imeisha hiyo alikuwa anachezea corona.
 
Kila upande na sehemu mbalimbali watu wanaendelea kuamini JPM hakufa kifo cha kawaida!

Binafsi naisihi Serikali iunde jopo la wataalamu wa afya wachunguze kifo cha huyo bwana Hayati Magufuli.

Kuiacha hiyo dhahania iendelee kuishi ndani ya mioyo ya watu ni sawa na kulea bomu ndani ya nyasi zenye ute ute wa petroli.

Ni muda mwafaka sasa Serikali ichunguze kifo cha JPM na itoke matokeo wazi.
Huko vijijini, hata mtu akifariki kwa HIV, wajinga huwa wanaenda kupiga ramli kuwa marehemu karogwa. Na mchawi hupatikana.

Ujinga na uwendawazimu ni mzigo kwa Taifa. Wapo wajinga mpaka leo wanadai Nyerere aliuawa na Mkapa. Wapo wajinga mpaka leo wanaamini Mkapa aliuawa na Magufuli.

Tufanyie kazi hoja za watu wenye akili, siyo watu wajinga. Hata wewe, kama kwenye ukoo wenu, kama kuna wajinga wewe, ujue siku mola akikuchukua, muuaji atatafutwa na kupatikana. Tunaposema ujinga ni gharama, ndiyo kama hizi.
 
Dr Janabi anajua exactly kuhusu issues za pacemaker.

Nadhani hata kama kuna details basi ziko full classified..

Nadhani kuna eneo kama nchi tulikwama na hakukua na namna ya kujikwamua zaidi ya kuchukua table solutions za kipindi hiko.

Namanisha nn??...namanisha kwa nini watu wa screening ya Presidential candidates walijua kuwa Marehemu Rais ,JPM alikua ana issues za moyo na bado wakampitisha awe Rais japo wanajua changamoto zake za afya?

Je hata mpendwa wetu JPM nae hakujionea huruma kwenye hii changamoto yake ya kiafya ya moyo???

Au ndo alijua changamoto zake za kiafya ya moyo ambazo wote tunajua ukiwa na hizi issues za moyo hata mambo hayatikiwi kuwa mengi lakini bado aka opt kufanya kazi ngumu ya Urais?

Au tuikumbuke anaposema "Nime SACRIFICE maisha yangu kwa ajili ya watanzania "????

Au tulikwama pale chamwino kumpata Rais ikabd huyo huyo mwenye changamoto crucial za kiafya ndo awe Rais.???
 
Hiyo dhana inaenea wapi, inaendea kwenu mnaomsoma na kumfatisha Veronica France.

Acha ujinga, auwawe kwa ulinzi wote aliojiwekea ule? Kajiua mwenyewe kwa ubishi wake
 
Back
Top Bottom