Recent content by dontech

  1. dontech

    JamiiForums Tanzania Je, mzee wa upako Mchungaji Lusekelo ni jasusi wa C.I.A na Mossad?

    tena usiniuzi nilioa muimba kwaya nilijuta bora ningeoa wale wa kimboka tu ngejua moja
  2. dontech

    JamiiForums Tanzania GE2020 Godbless Lema anatakiwa kupongezwa kwa kumkaribisha mgombea wa CCM apige kampeni kwenye jukwaa la CHADEMA

    mama alisemekana kaolewa zenjibar hahaaaaa chuga one mpooooooooo
  3. dontech

    JamiiForums Tanzania Uliweza kuishi vipi katika mazingira kama haya?

    mkatae tu tafuta baba mwingune
  4. dontech

    JamiiForums Tanzania Kirusi hatimaye chatua Uganda, kiliwakosa kosa, hongera Burundi bado

    waache wapungue china aje kua baba lao
  5. dontech

    JamiiForums Tanzania China yafunguliwa mashitaka rasmi:Yadaiwa dola Trilion 20 kwa sababu ya kirusi cha korona

    sasa hiyo pesa analipwa nani au mabeberu wanataka kumteketeza mchina wawatu
  6. dontech

    JamiiForums Tanzania Katibu Mwenezi Polepole, malipo ya 'Lumumba Buku 7' yameathiriwaje na Corona?

    7000*30=?????mshahara mzuri tu jamani kwa usawa huu
  7. dontech

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

    Covid-19 Hivi ushawahi kufikiria nini kitatokea kama mtoto wako atapata maambukizi ya korona na akawekwa quarantine? Ushawahi kuwaza kuwa hutaruhusiwa kutoka kwenda popote nje ya nyumba yako achilia mbali kwenda kumwangalia mwanao alowekwa quarantine? Ushawahi kuwaza hilo😔😔😔 Unajua kwamba mtu...
  8. dontech

    JamiiForums Tanzania Marekani: Vifo vya corona vyafikia 4000, watu zaidi ya 900 wamefariki jana pekee

    Nani awahurumie washazoea kututesa
  9. dontech

    JamiiForums Tanzania Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

    unlock network mkuu ungekua kibha karibu ofisini
  10. dontech

    JamiiForums Tanzania Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

    Msaada mwenye mchoro au anaejua hizi key pad ways model tecno t728 keys zisizo fanya kazi 1-4-7-*
  11. dontech

    JamiiForums Tanzania Kwa Watumiaji Wa Gordak SMD Hot Air Rework Station

    Acha hiyo mashine iko poa nishatumia zaidi ya mika miwili mpaka nimempa jamaa nae anapigia kazi hizi mashine zote watu wanalalamikia mikono ila sisi tunamtumizi mabaya ktk huo mkono kuna kuna hiter na kioo flani hiv sasa sisi hua tunapeda kuigonga hiyio mikono kioo kinaweza pasuka au hita ikakatika
  12. dontech

    JamiiForums Tanzania Naomba Link ya samsung s8+ ili nipakue firmware

    ukiona mtu anakuomba link sizani kama ataweza regester huko sammobile
  13. dontech

    JamiiForums Tanzania North Korea yarusha makombora mawili ya balistiki

    True mkuu huyo sio binadamu wa kawaida kwa karne hii ila NK IRAN nawapenda sana awana uwoga wao wazee ukibip wanatwanga chap
  14. dontech

    JamiiForums Tanzania Unlocking Modem/Router Tigo + TTCL

    hiv ttcl bado wanatunyima riziki mafundi device zinakua ngumu kuzifyatua
Back
Top Bottom