Hivi katika hizi firmware, unaweza ukaweka firmware ya kutoka nchi yoyote?.
Mf. Nilikuwa natafuta firmware ya A10, nilizipata ila zilikuwa za location tofauti na Tanzania na kwenye option ya kuchagua nchi Tanzania haikuwepo.
Hapa huwa mnafanyaje?
kcamp ,
Kukaja Kununu
Sent using
Jamii Forums mobile app
Yes mkuu unaweza kuweka ya region yoyote,,japo haishauriwi kwasababu kila simu ina firmware ya region husika
Ukiweka firmware tofaut na region yako kuna uwezekano wa haya kutokea
1.simu kuja app usizotaka,yani sio za region yako..
2.simu ku overheat nakutumia charge vbaya sana.. kwasababu kila region ina mifumo yake ya telecommunication,sasa hizi firmware huw ziko optimized kwenda sambamba na mifumo ya mawasiliano kupitia built in modem ya kweny simu yako..si unajua maswala ya bands mkuu? Na ndio maana tunashauriwa global version
Sasa kuweka firm ya region nyingine huenda ikafanya simu itumie moto mwingi sana kustrugle kweny cell standby,,yani unakuta power usage kule kweny simu yako mnara ndio unatafuna charge kuliko kingine unabaki unashangaa..hii huend ikawa sababu.
Hivyo simu pia itakua yamoto sana.
Chakufanya unatakiwa ujue software version vizur kabla ya kuflash...Kwa Tanzania mim huwa naflash KEN,AFR software version..hizi ni specific code za kenya..lakin pia SOL huwa ina represent Tanzania specific code.so inacase ikiwepo nitaishusha.
Sent using
Jamii Forums mobile app