Recent content by donrushs

  1. D

    Mwenye kuijua khurinjani anielimishe tafadhari!

    DM nitakuelekeza inapo patikana
  2. D

    Uhalali wa malipo ya pasipoti ya dharura ubalozi wa tanzania nchini afrika kusini

    Napost Kama nilivyo tumiwa "Ningekuwa na mtu anayefanya wizara ya mambo ya ndani ningemuuliza anipe uhalali wa mambo yanayofanywa na ubalozi wa TZ ndani ya south Africa tunaombwa kulipia R1000 kwa passport ya dharura ambayo ni sawa na Shilling 140,000 ambayo zamani ilikuwa R 300 mpaka kufikia...
  3. D

    Picha ya Ziara ya Kwanza ya Dr. Slaa Mkoani Kigoma baada ya kuhamia chadema Miaka ya 90

    Naomba Tuweke kumbukumbu sawa kidogo...... Picha hii ni ilipigwa miaka ya 90 kipindi Dr. Slaa anahamia Chadema akitokea CCM, Na huyo Mwenye Kaunda suti ndiye alikuwa mbunge wa kwanza Na pekee kupitia chadema Dr. Aman Walid Kabourou jimbo la Kigoma Mjini, ilikuwa ziara ya kwanza Kwa Dr. Slaa...
  4. D

    iDevices (iPhone, iPad & iPod Touch) Guru!!

    Unapo switch wifi on zitatokea available wifi hotspot Kwa Eneo ulipo then Kama zitakuwa hazina security uta connect bila tatizo, ila Kama zina security unahitaji kuwa Na password, Kama bado unapata tatizo ni pm namba yako nitakupigia nikupe maelekezo zaidi
  5. D

    iDevices (iPhone, iPad & iPod Touch) Guru!!

    Kama Ina iOS 6-7 Tap Setting-> wi-fi -> choose a network Kisha connect to your preferred wifi hotspot
  6. D

    iDevices (iPhone, iPad & iPod Touch) Guru!!

    Kama una Tatizo Lolote Kuhusu iDevices (iPhone, iPad & iPod Touch) Kama UNLOCK, JAILBREAKING & any APP installation Free & Paid ... Niulize nitakujibu BUREEE. JUST CALL ME AN iDEVICES GURU. iTycoon 4 iDevices
  7. D

    Free Internet to all JF members with A MAGIC SIM CARD(No payment required)

    Username Na password zinauzwa, hata Mimi nilinyimwa nikaamua yaishe nikanunua 10,000/- tu
  8. D

    iMessage kwenye Android!! Wahi sasa!

    Usijaribu hiyo app, haiko Salama Kwa information zako
  9. D

    Blackberry wachemka, BBM Android na iPhone postponed! !

    Kama unahitaji BBM FOR iPhone Just PM me
  10. D

    Kudorora Kwa internet ya TTCL Na Promotion Za SMILE

    Kuna Siri gani nyuma ya Pazia mwezi huu Kwa huduma ya TTCL upande wa DATA ( internet ) kuwa mbaya haijapata kutokea at the same time watu wakipita maofisini kwetu Na kutushawishi tuhamie SMILE?
  11. D

    how to convert word document to PDF file

    Follow that link utapata solution, http://www.microsoft.com/en-us/download/details.aspx?id=9943
  12. D

    New softwhere for azsky g2 and g1

    Jela inawaita, tumieni akili, ths is illegal biz but nyie mnaifanya hadharani, hamna akili
Back
Top Bottom