Blackberry wachemka, BBM Android na iPhone postponed! !

Blackberry wachemka, BBM Android na iPhone postponed! !

BBM inakuja kupoza whatsapp na kila kitu. Tusubiri

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Mpaka BBM kutaka kuingia kwenye Android na iPhone tushaona BBM inaiga Whatsapp. The future is in portability, not closed ecosystems.This is exactly where Android is beating IOS/ iPhone.

BBM inachoizidi Whatsapp ni nini?

Mimi situmii teknolojia za museum, nitavinyima vizazi vya leo vitu vya kuona kwenye exhibitions huko.
 
Kusema na ukweli dreamfone yangu ni iPhone!! Nilipokua sijapata kazi nilimuona jamaa mmoja hivi Ana iPhone 3G!! Du mshkaji nilimtamania Sana! Nikajiapia kuja kuimiliki Mungu jalia ikatoka iPhone 4 kuja a nikajitosa mwenyewe shop! Kitu kipya nikavuta! Namshukuru Sana Steve job hiisim inaniweka Karibu na dunia wakati wote! Nafurahi hasa wanapotubadilishia iOS6, na sasa tuna 7 kitu make mie niwashauri achaneni BB mwaka wa Tati huu sim Kama nilinunua jana

hahahaha mkuu iphone ni munyama hataree mshakaji wangu mmoja yuko nayo ananambia ni kama vile anachat na Yesu vile yeye yuko na iphone 4..nimeisukuma iphone 3gs yangu naskilizia kamshahara katoke nikajivutie iphone 5..nitulie sichange simu tena..viva steve jobs..!!
 
Mkuu hii kwenye sheria tunaita Consensus ad em yaani 'Meeting Of Minds'. Mi mwenyewe naitamani sana iPhone nije kuimiliki. Kuna jamaa wangu anatumia iPhone5 yaan kitu kwanza kipo fasta kwenye net sijawahi ona yani. Nilijaribu kustream youtube video ndio balaa yani kama umedownload vile. One day!

Usichanganye speed ya mtandao na aina ya simu. Chenye speed sio simu n mtandao
 
bb ni kama htc tu wana mipasuko sana ndani hawafanyi kazi as a one team

Mkuu kwema??

Naomba msaada wa iPhone 4S inazingua ukimpigia mtu hakusikii nimebadilisha mic but still tatizo lipo kuna muda natumia inakibali na kuna saa inazingua
 
Mkuu kwema??

Naomba msaada wa iPhone 4S inazingua ukimpigia mtu hakusikii nimebadilisha mic but still tatizo lipo kuna muda natumia inakibali na kuna saa inazingua

Mkuu kama inascreen protector kunauwezekano imeziba mic angalia utoboe na pini
 
BB imeshaingia makubalianio In principle kununuliwa ...£4.7billion
 
Back
Top Bottom