ma parody account nyingi..unakuta wanasahau ku log out wanakurupuka kujijibu..especially kama huyu anaonekana hana kazi kama hapo juu mdau alivyomuuliza
kwanza inaelekea uliachwa ulikuwa huna michongo..''hapo kwenye sex in the office in the car sijui ni UONGO..you type smell look like ulikuwa huna vyote hivyo zaid ya makende yako...
nakusihi tafuta hela acha ndoa za watu na shobo za wake za watu
TF una namba yake kwanza?
cha msingi angalia contacts zako wewe..sio messages zako....una namba za fundi bomba mama muuza vitumbua muuza mihogo mangi boda boda unategeema uki post something wa react vipi..levels mamaa....au uwe na namba mbili moja official moja social...
pole sana mkuu...
ukishajua ukweli itasaidia nini sasa..maana naona hiyo ni kama part 2 ya sinema aliyokuchezea awali mpaka akaondoka na kurudi bila taarifa...
Game is simple, take it from me...amua kusuka au kunyoa....kama mnaishi nyumba moja jitahidi msi share kitanda au msipige game...
binafsi napenda kufua nguo zangui mwenyewe, na hili mwenzangu anajua ni kama kumsaidia,ila in general i like washing my own clothes, ...na daima hii imeungana na kupenda klupangilia vitu...
junior ni jina la kifupi kwa mtoto mwenye jina kama baba yake..
hawezi baba akaitwa john mtot akaitwa john afu wanafamilia wakarefer kama john john ,wakiita wanaitwa kama junior
afu junia hutumika na family members at large, akiwa maisha ya nje akikuwa wengi wanatumia jina lake la john, ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.