Pole mkuu, naona umechanganya a/c.Hiyo mbona rahisi sana ishatokea kwa jamaa mmoja alichokifanya akikaa sebuleni anakaa uchi🙆🤦🤣 akienda jikoni uchi😲 waliondoka Wenyewe, wakabaki kuhadisiana mshenzi kweli🤣😅🙌
ma parody account nyingi..unakuta wanasahau ku log out wanakurupuka kujijibu..especially kama huyu anaonekana hana kazi kama hapo juu mdau alivyomuuliza
🤣🤣🤣🤣🤣🤣lmfaoHiyo mbona rahisi sana ishatokea kwa jamaa mmoja alichokifanya akikaa sebuleni anakaa uchi🙆🤦🤣 akienda jikoni uchi😲 waliondoka Wenyewe, wakabaki kuhadisiana mshenzi kweli🤣😅🙌
Aisee nimechekaHiyo mbona rahisi sana ishatokea kwa jamaa mmoja alichokifanya akikaa sebuleni anakaa uchiakienda jikoni uchi
waliondoka Wenyewe, wakabaki kuhadisiana mshenzi kweli
![]()

Hiyo mbona rahisi sana ishatokea kwa jamaa mmoja alichokifanya akikaa sebuleni anakaa uchiakienda jikoni uchi
waliondoka Wenyewe, wakabaki kuhadisiana mshenzi kweli
![]()





























Hiyo mbona rahisi sana ishatokea kwa jamaa mmoja alichokifanya akikaa sebuleni anakaa uchiakienda jikoni uchi
waliondoka Wenyewe, wakabaki kuhadisiana mshenzi kweli
![]()





Hiyo mbona rahisi sana ishatokea kwa jamaa mmoja alichokifanya akikaa sebuleni anakaa uchiakienda jikoni uchi
waliondoka Wenyewe, wakabaki kuhadisiana mshenzi kweli
![]()






Huu sio ushauri, kwanini umewaza kumpiga mke?Kwanza tuanze ni kabila gani hao
Nadhani ni watanga hao,na mbona bado
Ww anza na mwanamke ukitoka kazini ni kipigo tu mwanza mwisho ukisikia wanalalamika ,waambie hapa kwangu huyu ni mke wangu nilimuoa na mwenye sauti ni mimi ukiona vimbele mbele waambie nikitoka kazini nisimkute mtu humu kila mtu arudi kwao,na nauli jitahidi uwaachie
Nakuambia ukirudi utamkuta mkeo tu.alafu utakuja kunishukuru mkuu
Mwite mkeo na hao ndugu zake waeleze ukweli ili waondokeKisa kipo hivi jamaa anasimulia huko kwenye chanzo kimoja cha habari kwamba.
" Nimeoa Mwaka huu Ndoa yangu ina miezi 3, baada ya kufunga ndoa ndugu wa mke wangu waliokuja kwenye sherehe hawajarudi kwao, Mama zake wawili, wadogo zake jumla wako 5 ,
Familia imekuwa kubwa ghafla kila nikitaka kuongea na mke wangu kuhusu ndugu zake kuondoka anasema yeye hapendi kubaki peke yake, wakati Mimi nashinda kazini, nisaidie nifanyeje ili waondoke? Sikujiandaa kutunza familia kubwa ya watu 7 mapema hivi,
Mshahara na budget yangu inatosha mimi na mke wangu na mtu mwingine yeyote mmoja, Nisaidie nitaongea vipi nisionekane nina roho mbaya.
Ingekuwa wewe ingekuwa vipi?
Nahisi ia huu ni unafiki, maana inawezekana mtu huna uwezo wa kumantain hizo gharama.Nimesoma comments za wachangiaji wengi inaonekana watamzania wengi ni wabinafsi ni wachoyo na Wana mapenzi ya upande mmoja.kwa mfano hao wangekuwa ni ndugu wa upande wako ungekuja kuomba ushauri hapa jukwaani kwamba jinsi gani utawafukuzwa kwako?????? Nipo tofauti na wachangiaji hapo juuu usiwafanyie hila yoyote kaa nao kwa roho Safi na salama utaona baraka zinavyoongezeka hapo nyumban.hila yeyote na choyo vitakuja kukucost huko baadae kumbuka unachofanya ndio utakuja fanyiwa vivyo hivyo ni suala la muda tu. Kwani hao wanamaliza kilo 10 za mchele kwa siku???? Babu haya maisha tu relax penda ndugu wa mkeo hao ni watu pia.
Nashukuru sana.