fabinyo JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 3,043 Reaction score 2,245 Jul 23, 2020 #21 wewe ni ke au me?
BARDIZBAH JF-Expert Member Joined Jan 11, 2017 Posts 6,417 Reaction score 12,987 Jul 23, 2020 #22 Umempiga chini halafu bado unaangalia status zake inamaana bado una no yake mkuu ww ndo umepigwa chini
Umempiga chini halafu bado unaangalia status zake inamaana bado una no yake mkuu ww ndo umepigwa chini
Donpela JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 2,040 Reaction score 592 Jul 23, 2020 #23 Analyse said: Futa namba yake. Click to expand... kwa uandishi wake unadhani ana kifua hicho... utoto squad mkuu we potezea, save the energy
Analyse said: Futa namba yake. Click to expand... kwa uandishi wake unadhani ana kifua hicho... utoto squad mkuu we potezea, save the energy
Myahudi Jr II JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 7,004 Reaction score 9,263 Jul 24, 2020 #24 tang'ana said: hivi kwa mwanaume unaejielewa,unaanzaje kutoka na mwanamke wa kufanya kazi za saloon? Click to expand... Nyoooooooooo, kuna saluni moja Dom inaitwa 5 star ina wanawake Wakaliiiii wana mikono milaini sana kama ya mtoto wa miaka 8
tang'ana said: hivi kwa mwanaume unaejielewa,unaanzaje kutoka na mwanamke wa kufanya kazi za saloon? Click to expand... Nyoooooooooo, kuna saluni moja Dom inaitwa 5 star ina wanawake Wakaliiiii wana mikono milaini sana kama ya mtoto wa miaka 8
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,391 Reaction score 59,148 Jul 24, 2020 #25 Ukimkalia kimya na kumuacha aendelee na vijembe vyake hautopungukiwa na chochote.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 54,942 Reaction score 53,991 Jul 24, 2020 #26 Wewe ndiye unayeteseka chakufanya futa namba yake hivyo vijembe havitakufikia