Recent content by donnydanny

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kilio, Kilio, kilio cha samaki, Machozi yanaenda na maji

    Unabii wa godbless lema unatimia..tukisikia yalaaaaa! Najua imeingia hiyooo
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi 2018: Rais Magufuli atapandisha Mishahara miradi mikubwa ya Serikali ikikamilika, Mwaka jana alinukuliwa Vibaya

    Nimeangalia mabango ya wafanyakaxi nimengundua vitu viwili, mosi waandaa mabango walipewa mwongozo na wakuu wa vyama vyao ili kutoonekana wachochez kwa kusema yajazayo maisha yao ya utumishi, pili ni hali iliyojengeka sana kwa wtz wore kuwa kusujudu kwa mkuu hya kama unaumia...maono...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi 2018: Rais Magufuli atapandisha Mishahara miradi mikubwa ya Serikali ikikamilika, Mwaka jana alinukuliwa Vibaya

    Yaani nimewashangaa kweli cjui walipewa Muungozo na wakuu wa vyama vyao ili wasimkwaze mkuu wa Maya maana kwa sasa hata kueleza kero tu ni uchochezi...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Taja maneno ya Kitaaluma uliyoyakariri ulipokuwa Chuoni hadi sasa unafanya Kazi hapo ulipo

    Mchakato Tafakuri jadidi Uradidi Shadadia
  5. D

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuachana na mambo ya dini ndio nagundua dini hupumbaza sana binadamu

    Kumbe ulikuwa unaamini katika dini na si Mungu, jitazame ulivyo halafu fumba macho yako kwa muda, ukifumbua tafakari utatambua ukuu was Mungu na so dini
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mmbogo Steven Andrew: Mwingulu Nchemba Taarifa yako juu hoja ya Cecilia ni Upotoshaji mkubwa Kumbuka Huyu ni Mke Wangu

    Lameck hivi ni were kweli! Au tumebadilishiwa MTU...hakika binadamu ubadilika
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kachukua nguo yangu ya ndani

    Ulisema alifutia naniilii..hivyo kaenda kuifanyia usafi then atairudisha ikiwa saaaafi...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Mkapa, ataka mjadala wa kitaifa kujadili hali ya elimu nchini baada ya shule za Serikali kufanya vibaya

    Elimu bure ni jeneza la Elimu wa walalahoi wa tz, watoto wa watunga Sera za Elimu ya masikini sisi wanasoma zao ktk shule bora nakujivunia uhalali wa kula kodi zetu bdae
  9. D

    JamiiForums Tanzania VPL tarehe 19/11/2017 Yanga yaichabanga Mbeya City magoli 5-0

    Chirwaa tena..
  10. D

    JamiiForums Tanzania HESLB yatoa majina ya mikopo awamu ya tatu 2017/2018

    Wakuu niangalizieni mwanngu EVA regnald PELLA plsee
  11. D

    JamiiForums Tanzania HESLB yatoa majina ya mikopo awamu ya tatu 2017/2018

    Wakuu niangalizien mwanangu EVA regnald pella
  12. D

    JamiiForums Tanzania Feza boys: Form one - form four zaidi ya Tsh Million 45! Serikali idhibiti hizi ada

    Nakubaliana nawe, lkn tujiulize, hawa wanaowekeza hizo pesa na kupata elimu bora wanayoitarajia, wanalalamika? Wanajutia ada,zao? lakini twende mbele na kujiuliza zaidi, je? Uwekezaji wetu unaendana na mavuno yetu au?, baada ya hapo tujipime..mazngira, wawezeshaji na jamii inawekeza kias gan...
Back
Top Bottom