Mmbogo Steven Andrew: Mwingulu Nchemba Taarifa yako juu hoja ya Cecilia ni Upotoshaji mkubwa Kumbuka Huyu ni Mke Wangu

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Kwanza, nadeclare interest kwamba Cecilia ni mke wangu na sipo kutetea hoja kwa sababu za nasaba yangu na yake, la hasha! Nipo kutetea hoja yake na kuibomoa hoja ya Mwigulu NCHEMBA kwa sababu halisi na zilizowazi katika mazingira ya kisiasa na hasa katika chaguzi zinavyoendeshwa kwa sasa katika awamu hii ya tano.

Kuna rafiki yangu aliwahi niambia kuwa wakiwa katika kikao na Viongozi wao katika Mkutano Mkuu wa CCM mjini Dodoma(Kwenye Mkutano Mkuu) uliopita walipewa maelekezo(utambue kuwa Ma-DC ni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kwa mujibu wa Katiba yao, kama sitakuwa nimekosea lakini pia Mwigulu anatambua hili kwa kuwa ni Mjumbe pia wa Mkutano Mkuu wa CCM) kwamba hakuna sababu ya kuwatangaza wapinzani kushinda uchaguzi ilhali kila resources wanapewa!!
-----------------------------------
Nimemsikiliza MWIGULU NCHEMBA akimjibu Mbunge CECILIA PARESSO(CHADEMA) kwamba chama chake (CHADEMA) kinapokuwa kimeshiriki uchaguzi kunakuwa na vurugu nyingi na kisiposhiriki vurugu hizo hazionekani.

Nami namwambia Mwigulu Nchemba kwamba: Kutokana na sababu ya hofu kubwa ya CCM juu ya chama hicho chenye nguvu kisiasa hapa nchini, ndiyo maana CCM kwa kushirikiana na Polisi(POLICCM) wanatumia nguvu kubwa kuhalalisha haramu kuwa halali.

CCM na Serikali yake wamepoteza uhalali wa kisiasa(Political legitimacy) miongoni mwa vijana na watanzania wote kwa ujumla. Na hakuna siri tena kwamba CCM haiwezi kukubali uchaguzi ufanyike katika mazingira yaliyo huru na haki ambayo mwisho wake wanajua ni kushindwa. Njia moja inayobaki kwa CCM kukabiliana na Chama cha CHADEMA na washirika wao wa UKAWA ni kuhalalisha VURUGU, UPORAJI na UNYANG'ANYI.

Ninachoona Mwigulu Nchemba hakuwa na majibu ya kina bali alilenga kuupotosha umma.Mwigulu alijifunika kwa VIGANJA katikati ya GULIO kubwa akidhani kuwa haonekani!!

Turudi kwenye mstari!!

Mmbogo, Steven Andrew

2018 Machi 5
 
Siku zote ccm hawana uwezo wakujibu hoja ki hoja.
Mimi mpaka nishachoka upuuzi mtupu afu yana wa aminisha wa tanzania eti yanakubalika uzezeta mkubwa huu.
 
Kauli ya mwenyekiti wao wa taifa ni mimi nimewateua sitaki kuona mkimtangaza wa upinzani kuwa ameshinda vinginevyo nitakutumbua.
 
Mwambie aelewe,asikie,na ajitambue.
 
Huyu Jamaa na Bendera yake huwa anaendaga kwa TB Joshua....

Anaenda Scoan kufanya nini?
 
Andrew umejidhalilisha sana
 
Pole sana mkuu hizi nafasi za viti maalumu ni ngumu sana zinahitaji kujitambulisha kama hivyo na kutuonyesha amewakilisha mawazo yako!
 
Mbogo umeoa au umeolewa?huyo Cecilia unayesema mkeo mbona kagoma kubadili jina abebe LA kwako? Naona wewe ndio unajinadi kuwa ndio mumewe wakati yeye hajawahi jinadi popote kuwa yeye ni mkeo.Naona wewe ndio unajitangaza sana na kujipigia tarumbeta kuwa wewe ndie mumewe wakati Cecilia kajikalia kimya akikuangalia kwa jicho LA hili Dume hovyooo
 
Back
Top Bottom