Watanzania bwana hamna hata jipya! hivi mimileo nataka kutoka kwenye ajira nianze kuwa mkulima hata huko kyela wewe unataka kuajiriwa, Tena uwe banker acha upuuzi huo umepitwa na wakati.kuwa mjasilia mali kaka
Nashangaaa!!! Tanzania yetu hii masikhala mengi. sera ya Nchi juu ya wawekezaji ni kwamaba ''MJIVUNIE KUVUNA, BAADA YA MIAKA MITANO WE BADIRI JINA LA KAMPUNI ILI USILIPE KODI, HALAFU MI NIPE ml. 500 NIMALIZIE GHOROFA YANGU PALE MBEZI NITAWALINDA!!''. Hatuna jipya wa bongo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.