Ndugu, pole... Hapo kagua unaweza kuta washatoa unga kwenye Exhaust.
Nimejifunza the hardway habari ya kuamini mafundi...
Sent from my V2027 using JamiiForums mobile app
Dah, Usimbe kuvaa hivi viatu. Ila kwa wanaojua sheria sijui kama kuna sheria inayo shughulikia wanawake aina hii wa kubambika watoto.
But akapime DNA tu kuhakikisha
Hapa ndio nimeona Jumbe za Sister kwenye Group. Ila kwetu bado hajaweka Taarifa ya malipo.
Unalipa ada, mchango wa Bweni ulinzi. Utaratibu kama shule ya uma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Doh na last term walikuwa na tour mbugani, Laki 4 kama sikosei. Honestly mazinde juu wako very unpredictable. Na chakusikitisha ni Kanisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Suluhisho la kuto jiamini ni kutafuta zaidi nafasi za kufanya kile unachohisi huwezi. Mazoezi pekee ndio sukuhiso, kuongea katika hadhara inataka uzoefu ambao hata uvute nini hutapata.
Lol, Kama hujawahi kutana nae unaweza hisi ni mtu mmoja peace sana.
Ila kwa binafsi japo sijamzoe na nilimeet nae mara moja nilijua ni mtu mwenye kujisikia sana. So hata hilo sishangai
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.