Recent content by Dongo La Kiemba

  1. Dongo La Kiemba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Sekiete Selemani

    Kwanini wasimtaje na mnunuzi pia!
  2. Dongo La Kiemba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyenyuma ya Feisal Salum Abdallah (Feitoto) hana huruma wala haoni aibu na hafai kabisa katika sekta ya mpira wetu

    Kuteketea kwake katika ulimwengu wa soka itawafanya wengine kujifunza.
  3. Dongo La Kiemba

    JamiiForums Tanzania Gavana wa BOT amemaliza muda wake au amestaafu?

    Sawa ana miaka 64, vipi kama ameomba akae pembeni na kuwapa wengine nafasi.
  4. Dongo La Kiemba

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa yupo safe house

    Tuwaombee viongozi na watendaji kutenda haki.
  5. Dongo La Kiemba

    JamiiForums Tanzania Hongera Amos Makala kwa kuwafyeka panya road, sikukuu tulivu kabisa

    Wangeendelea kuwepo wangelaumiwa polisi!
  6. Dongo La Kiemba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ni mzuri kama malaika, halafu mlokole

    Mambo mengi kusoma..picha ingefaaa zaidi!
  7. Dongo La Kiemba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali imempatia Mzee Mwinyi zawadi ya gari aina ya Benz ya chini

    Ni kweli kupanda gari la juu kwa hawa wazee wetu ni changamoto. Ni vizuri wakaliona pia kwa Mama Maria Nyerere.
  8. Dongo La Kiemba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake mnapenda kuuliza "umekula"?

    Mara nyingi wanakuwa hawajala hivyo ni namna ya kukujulisha wewe wananjaa na ikiwezekana uwatumie pesa.
  9. Dongo La Kiemba

    JamiiForums Tanzania Je, majukumu ya DCI ni yapi? Asiyeijua PGO awezaje kuwa DCI?

    Kumbe kisa Mbowe.
  10. Dongo La Kiemba

    JamiiForums Tanzania Kwa kosa hili, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa tunamkosea sana

    Majaliwa yuko sawa.
  11. Dongo La Kiemba

    JamiiForums Tanzania Lema awataka wana Chadema kususia biashara za billionea wa Arusha

    Itakuwa naye alitafutiwa huko kama Mwenyekiti alivyokiri kumuahidi yule mbunge kwa sharti la kuachia ubunge! Kwahyo alimfundisha usaliti bila kudhania hatima ya wale wengine 18!
  12. Dongo La Kiemba

    JamiiForums Tanzania Kuna 'misinformation' inaendelea kuhusu Uber/Bolt kufunga biashara Tanzania..

    Naomba kujua namna ya kuwa report dereva wahuni wanaopokea request na kukaa kimya muda mrefu bila ku kufuata wakitegemea uta cancel trip. Asanteni
  13. Dongo La Kiemba

    JamiiForums Tanzania TANZIA Lala Salama Ndugu Yetu Mkakaro Kagere Mkakaro

    Naona HM kanisoma. Inatia faraja kwa makamanda.
  14. Dongo La Kiemba

    JamiiForums Tanzania TANZIA Lala Salama Ndugu Yetu Mkakaro Kagere Mkakaro

    JK na HM walivyo watu wa watu, hukawii kuwakuta mazikoni wakimzika mlinzi wao. RIP KC.
Back
Top Bottom