Recent content by donfrancis

  1. donfrancis

    TBC1 hawana pesa ya kurusha bunge ila wana pesa ya kumrusha Makonda

    Kwani wewe unafikiri pasipo kufanya hivyo mbele ya vyombo vya habari ni mwananchi gani atapata habari? Unafikiri chadema kung'ang'ania bunge liendelee kuonyeshwa live dhumuni lao ni nini kama si kutaka waonekane kwa wananchi jinsi wanavyo fanya migomo.Pole sanaa ndugu yangu,umasikin wa mawazo...
  2. donfrancis

    TBC1 hawana pesa ya kurusha bunge ila wana pesa ya kumrusha Makonda

    Makonda ni Hhazina ya baadae,ni kijana mwenye akili nyingi sana,unae mponda unapoteza nguvu yako bure.....
  3. donfrancis

    Kina dada, this is too much

    Mtu una apointment nae,anakupiga mzinga wa kufa mtu,kuna mmoja alishawahi niambia nimtumie elfu 50 kwanza kwenye M-Pesa kwanza kabla hata ya kuonana... nilijua huyu mpigaji mbona nilibadioi njia anngani?
  4. donfrancis

    Mganga hajigangi

    Kwani nani aliye kwambia waliopo chadema ndio wasafi? We ni mgeni wa siasa za Afrika eti? Kwani ulimsikia yule mgombea wamarekani juzi alivyokuwa anaongelea kuhusu viongozi wa Africa
  5. donfrancis

    Let Magufuli spend a week in each Country in Africa - South Africa says!

    Sasa hivi Magufuli amekuwa gumzo nchi nyingi sana barani Africa na tena sio south africa tu hata uganda kwasa kila mtu anamuongelea Magufuli,nimelishuhudia hilo wakiongea kwa vinywa vyao..
  6. donfrancis

    Let Magufuli spend a week in each Country in Africa - South Africa says!

    Usikate tamaa ndio maisha bro,hakuna aliye taajirika bila kujituma...chamsingi ni uvumilivu na ubunifu mafanikio utayaona.Bahati nzuri Mungu wetu ni mwema anawapa wale wenye nia ya dhati ya kutafuta.hivyo fanya kwa upande wako na yeye atakuongezea.
  7. donfrancis

    Let Magufuli spend a week in each Country in Africa - South Africa says!

    Wewe ulitaka uletewe pesa nyumbani bro....piga kazi upate helea.Asikudanganye mtu hakuna mafanikio ya papo kwa papo laZima utumike kwanza ili ujue uchungu wake ndio uanze ku gain mafanikio.Ukubali ukatae magufuli ndio habari ya mjini barani Africa.
  8. donfrancis

    Mada Moto: Tundu Lissu live Channel Ten

    Mwita wewe ni mbishi basi kila mtu akae na anavyo amini....mtazidi kupokea mafisadi wengi maana huku maji yakiwafika shingoni hawatakuwa na namna tena bali ni kwenda chadema na kusafishwa.
  9. donfrancis

    Mada Moto: Tundu Lissu live Channel Ten

    Unaambiwa hii ni serikali ya magufuli,kwanza yeye mwenyewe alishatangaza vita dhidi ya mafisadi,pili namshukuru sana Mh.Zito aliwaweka wazi wapinzani wengine kwamba yaliyopita tuyaache sasa tujadili mambo mapya na hii serikali mpya.Tatizo lenu mnaweka imani kwa mtu na ndio maana hata accheze...
  10. donfrancis

    Mada Moto: Tundu Lissu live Channel Ten

    Uzuri wa mh.Magufuli majipu anayatumbua mwenyewe,haitaji msaada kwa mtu yeyote na hii serikali ya sasa inaendesha mambo yake kwa uwazi...hivyo wapinzani msitokwe na Povu nendeni dodoma mkayaweke mambo sawa.
  11. donfrancis

    Mada Moto: Tundu Lissu live Channel Ten

    Huna jipya kumbe kazi kutuputozea mda... Kabla ya makala kutolewa kuna typying error nyingi sana zinarekebishwa kabla ya gazeti kupelekwa sokoni,hivyo hayo makosa yasikutoe povu mdomoni kinaja.Habari ni kwamba Lissu sio mzalendo...Pongezi sana kwa Dr.slaa alikataa kubadili uwamuzi wake.Upo hapo?
  12. donfrancis

    Mada Moto: Tundu Lissu live Channel Ten

    Hakuna kitakachokuwa moto maana hao wote ni walewale,wanachi tumeamka sana na tunaofuatilia mahojiano hayo ni watu tunaojielewa,waondoe kwanza choo walichokihamishia chumbani mwao ndio tutawaelewa.
  13. donfrancis

    Mada Moto: Tundu Lissu live Channel Ten

    kubishana na wewe ni sawa na kupoteza mda,lissu ni msomi ndio,lkn kawa Muongo na fani yake kaidhalilisha sana.Kama ulibahatika kuona zile kampeni za akina lissu na wenzake walipozunguka kumdani lowasa kuwa fisani na kutoa list iliyoitwa "the List of shem" ambapo Lowassa pia alijumuisha humo basi...
  14. donfrancis

    Kuna uwezekano wa kumpata mume humu

    Nafikiri nakufaaa lkn siwezi kuzumzia wasifu wangu hapa kama unataka tukutate...
  15. donfrancis

    Jiji la Mbeya kama kijiji

    Hauwezi kufika kwa lipi....tukisema vivutio ni kweli kuna mlima kilimaanjaro na migodi mikubwa ya amadini lkn hivyo vyote ni mali ya serikali... Kama boda ya masaa 24 hata mbeya ipo na ni mbili tu hapa Tanzania kuna ya mbeya na namanga arusha. Kwa mzunguko wa kibiasha mbeya ipo juu sasa sijui...
Back
Top Bottom