Mada Moto: Tundu Lissu live Channel Ten

Mada Moto: Tundu Lissu live Channel Ten

Uwezo wa Lissu katika kueleza na kutetea uongo ni mkubwa sana.
Na anapotosha sana sheria na tafasiri yake.
Kama umeamini hayo maneno ya Lissu kavu kavu kama yalivyo kwenye hiyo post nakuonea huruma.
Nadhani wewe ndio wakuonea huruma. Huyo Lissu unayemuona muongo nenda kwa wabobezi wa sheria na has a majaji uone jinsi ambavyo kesi zake zinavyotumika kama sehemu ya study. Chuki za kisiasa sio kigezo cha kumuona mtu ni mjinga.
Kumbuka hata Makinda bungeni kuna wakati walipokuwa wanaweka tofauti pembeni alikuwa anamtaja Lissu kama msaada mkubwa kwa Bunge katika utungaji na utatuzi wa mambo ya kisheria.
Ajabu ni kuwa kwa 'wasomi wa ccm JF' hawamkubali
 
Sisi tunamjaji kwa matamshin yake, huko ofisini kwao haituhusu, kumtetea lowassa ndani ya mwezi mmoja wakati umetumia miaka nane kumchafua ni UNAFIKI ULIOTUKUKA NA USIOKUBALIKA, na jana kaendelea kutoa utetezi usio na mashiko kabisa dhidi ya lowassa! Kwa jinsi alivyo, lowassa akirudi sisiemu ataendelea kuwa fisadi na Muhongo akija chadema ni malaika! MSIONGEE UPUUZI WA MFUMO, lowassa pekee ni MFUMO, lowassa ni taasisi.
UBORA WAKE KATIKA SHERIA KAMA UNAVYODAI APELEKE OFISINI KWAO, kwenye macho na akili za watu ktk jamii kapoteza credibility, na yeye anajua hilo ndo maana jana alipoulizwa swali lingine la kuuza chama, ALISHINDWA KUJIBU, zaidi ya kusema chadema bado ni chama kichanga sana, SIJUI ALIMAANISHA NINI.
 
Nadhani wewe ndio wakuonea huruma. Huyo Lissu unayemuona muongo nenda kwa wabobezi wa sheria na has a majaji uone jinsi ambavyo kesi zake zinavyotumika kama sehemu ya study. Chuki za kisiasa sio kigezo cha kumuona mtu ni mjinga.
Kumbuka hata Makinda bungeni kuna wakati walipokuwa wanaweka tofauti pembeni alikuwa anamtaja Lissu kama msaada mkubwa kwa Bunge katika utungaji na utatuzi wa mambo ya kisheria.
Ajabu ni kuwa kwa 'wasomi wa ccm JF' hawamkubali
Heri ungejua fani na uzoefu wa mtu unayejibishana naye na huo ushabiki maandazi wako.

Uwezo wako wa kuchambua mambo ni mdogo ndo maana unaleta mambo ya ushabiki hapa.

Sijamshusha hadhi Lissu kwa sababu ya chuki za kisiasa. Huyu bwana ni mwongo, mptoshaji na kigeugeu. Nimetoa mifano kwenye post zangu mbili hapo juu. Kama umeona nimekosea zichambue hizo post sio kuleta usha

Hao wabobezi wa sheria wanamsifu Lissu ni kina nani? Najua huko Ukawa wasomi ni wachache kwa hiyo ndo maana Lissu anaonekana kinara.

Ni wazi pia, katika bunge lilipita kulikuwa na mapungufu makubwa ya vipaji, ujuzi na weledi.
Mama Makinda alikuwa anapata shida ya kupata vichwa vyenye nafuu baada ya kuimba mipasho yao.

Na kwa taarifa yako Mama Makinda si mwanasheria mbobezi. Ana ujuzi wa kawaida tu wa sheria. Mwanasheria mwingine wa ukawa huko bungeni alikuwa Halima Mdee. Sasa yule hana ubobezi wowote katika sheria.
 
Lissu toka lini akajiuma?Kamkausha makomeo mbaya kabisa.Kweli lissu ni Simba
Ukimtetea kwa kusema hayo juu ya Lisu ni kudanganya wasioelewa kama alivyosema jana yeye mwenyewe Lisu.kiufupi alienda kujidhalilisha tu!
 
Uwezo wa Lissu katika kueleza na kutetea uongo ni mkubwa sana.
Na anapotosha sana sheria na tafasiri yake.
Kama umeamini hayo maneno ya Lissu kavu kavu kama yalivyo kwenye hiyo post nakuonea huruma.
Lisu ndiyo kiboko wa wabunge na mawaziri chumia tumbo wa ccm hivyo sitegemei chumia tumbo wa mchangani kama wewe umsifie
 
Kuna watu mnajidhalilisha. Upeo wa kujieleza wa Lissu ni mkubwa sana na ni wanasiasa wachache au wanasheria wanaomfikia. Issue ya ma DC wa mfano wa Makonda kaieleza vyema sana na kumbe hata Makonda afanyayo siyo mamlaka aliyopewa na katiba au sheria.
Leo kaonyesha wazi kuwa nini maana ya kumhoji hata rais bila woga wa kinafiki kwani kuwa citizen ni cheo kikubwa kuliko urais, ndio mwajiri kwa nini uogope kuhoji?
kubishana na wewe ni sawa na kupoteza mda,lissu ni msomi ndio,lkn kawa Muongo na fani yake kaidhalilisha sana.Kama ulibahatika kuona zile kampeni za akina lissu na wenzake walipozunguka kumdani lowasa kuwa fisani na kutoa list iliyoitwa "the List of shem" ambapo Lowassa pia alijumuisha humo basi usingetetea upuuzi huo alio ongea leo.Tena kwa msisitizo Lisu alisema anataka watanzania wajue kuwa yeye ndie alie iandika ni clip zake kama unataka nitakutumia.
 
Heri ungejua fani na uzoefu wa mtu unayejibishana naye na huo ushabiki maandazi wako.

Uwezo wako wa kuchambua mambo ni mdogo ndo maana unaleta mambo ya ushabiki hapa.

Sijamshusha hadhi Lissu kwa sababu ya chuki za kisiasa. Huyu bwana ni mwongo, mptoshaji na kigeugeu. Nimetoa mifano kwenye post zangu mbili hapo juu. Kama umeona nimekosea zichambue hizo post sio kuleta usha

Hao wabobezi wa sheria wanamsifu Lissu ni kina nani? Najua huko Ukawa wasomi ni wachache kwa hiyo ndo maana Lissu anaonekana kinara.

Ni wazi pia, katika bunge lilipita kulikuwa na mapungufu makubwa ya vipaji, ujuzi na weledi.
Mama Makinda alikuwa anapata shida ya kupata vichwa vyenye nafuu baada ya kuimba mipasho yao.

Na kwa taarifa yako Mama Makinda si mwanasheria mbobezi. Ana ujuzi wa kawaida tu wa sheria. Mwanasheria mwingine wa ukawa huko bungeni alikuwa Halima Mdee. Sasa yule hana ubobezi wowote katika sheria.
Eti heri ungejua fani yako! Wewe unajua fani za wenzako? Kama unataka watu wajue fani yako jiweke wazi na hizo inferiority complex zako ziache nyumbani.
Unamzungumzia Lissu kwa chuki nw sio kwa hoja. Hilo liko wazi
 
Ukimtetea kwa kusema hayo juu ya Lisu ni kudanganya wasioelewa kama alivyosema jana yeye mwenyewe Lisu.kiufupi alienda kujidhalilisha tu!
Kwa ma ccm lisu ndio dawa yenu ya ukichaa mlio nao na mtamkoma mjengoni na ataanza na ngoma ya escrow
 
Duu siku hiyo ma ccm yatalala mapema dadeeeeekiiiii
Hakuna kitakachokuwa moto maana hao wote ni walewale,wanachi tumeamka sana na tunaofuatilia mahojiano hayo ni watu tunaojielewa,waondoe kwanza choo walichokihamishia chumbani mwao ndio tutawaelewa.
 
Kwa ma ccm lisu ndio dawa yenu ya ukichaa mlio nao na mtamkoma mjengoni na ataanza na ngoma ya escrow

Unadhani kila anaeongea hapa kua Lisu alichemka ni mshabiki wa ccm?
 
Eti heri ungejua fani yako! Wewe unajua fani za wenzako? Kama unataka watu wajue fani yako jiweke wazi na hizo inferiority complex zako ziache nyumbani.
Unamzungumzia Lissu kwa chuki nw sio kwa hoja. Hilo liko wazi
Umempasha na hatii mguu tena
 
kubishana na wewe ni sawa na kupoteza mda,lissu ni msomi ndio,lkn kawa Muongo na fani yake kaidhalilisha sana.Kama ulibahatika kuona zile kampeni za akina lissu na wenzake walipozunguka kumdani lowasa kuwa fisani na kutoa list iliyoitwa "the List of shem" ambapo Lowassa pia alijumuisha humo basi usingetetea upuuzi huo alio ongea leo.Tena kwa msisitizo Lisu alisema anataka watanzania wajue kuwa yeye ndie alie iandika ni clip zake kama unataka nitakutumia.
Mbona hiyo hoja ya kijinga na kitoto? Mudw ule wote Lowassa alisimama wapi na kusema ukweli wa sakata lile?
Sasa kaja Chadema na kuhojiwa na KK na Maelezo yake yamewafanya waujue ukweli wa muhusika na wamemuamini.
Sasa mlitaka waendelee kumwita fisadi wakati ukweli wa nani ndio fisadi wameujua?
Wakushangaza na waongo wakubwa na wanafiki in ccm, kwa miaka yote walisema ile ni ajali ya kisiasa tuu na wakawa wanampa vyeo vya heshima. Iweje kuhama chama tuu basi ndio kawa fisadi kwao?
 
kubishana na wewe ni sawa na kupoteza mda,lissu ni msomi ndio,lkn kawa Muongo na fani yake kaidhalilisha sana.Kama ulibahatika kuona zile kampeni za akina lissu na wenzake walipozunguka kumdani lowasa kuwa fisani na kutoa list iliyoitwa "the List of shem" ambapo Lowassa pia alijumuisha humo basi usingetetea upuuzi huo alio ongea leo.Tena kwa msisitizo Lisu alisema anataka watanzania wajue kuwa yeye ndie alie iandika ni clip zake kama unataka nitakutumia.
Magamba mwaka huu mtajibeba maana Lisu yupo fit kuliko kipindi kilichopita
 
Back
Top Bottom