Recent content by Dondoa

  1. D

    JamiiForums Tanzania Spotted:Mama Tibaijuka Akiwa Pekupeku Jimboni

    Kumekucha! wanarudi majimboni pekupeku
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Marekani yafuta Uraia Pacha!

    Huyo karusha ndimu kwenye sega la nyuki! mziki wa diaspora hauwezi
  3. D

    JamiiForums Tanzania It's serious: CCM mkiharamisha madai yangu km Mkristu na Mchaga/MKaskazini si rafiki yangu

    Ndio maana nimeku shauri urudi shule, kwenye nyekundu ulitaka kusema nini?
  4. D

    JamiiForums Tanzania It's serious: CCM mkiharamisha madai yangu km Mkristu na Mchaga/MKaskazini si rafiki yangu

    Huyu jamaa anatakiwa kurudi shule. Hawezi kunadika sentensi ika eleweka au sijui mchaga huyu kiswahili hajui au shule tu inamsumbua. Nicholas unatu aibisha wakristo kwa ujinga wa udini wako, unawa aibisha wachaga kwa ukabila wako na unai aibisha Chadema kwa kuwa na mwanachama kilaza kama wewe
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo (Mkuu wa Wilaya Korogwe) Ahamishwa!

    Mrisho Gambo anaandaliwa na Ridhwan Kikwete kuchukua nafasi ya Martin Shigela ukatibu mkuu wa UVCCM. Zengwe lishatengenezwa Riz & Coy hawamtaki Shigela kwa kuwa hamuungi mkono Membe kuelekea 2015, na nafasi ya Katibu mkuu UVCCM ni nyeti sana.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Butiku: Ningejua CCM itaingilia mchakato wa Katiba nisingeshiriki

    Butiku ni frustrated individual fulani hivi, bado ana hasira za kupigwa chini na Ben Mkapa alipotaka Uenyekiti wa bodi wa shirka nyeti. Since then amekuwa anti CCM in the name of Mwalimu Nyerere foundation. Hana jeuri ya kujiuzulu and I can bet on that, kuacha posho ya 400,000 kwa siku...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Dk. Mwakyembe: Ninajitoa mhanga katika mapambano ya madawa ya kulevya nchini

    Afanye kazi maneno mengi ya nn?
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mtendaji wa NBC Lawrence Mafuru asimamishwa kazi

    Ndugu yangu upo karibu sana na ukweli..... kwa kujazia tu huyo ndugu "kichwa" ana kashfa ya rushwa
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane kauli mbalimbali za Wanamichezo

    Kevin Keegan on Alex Furgoson 1995/96 season
  10. D

    JamiiForums Tanzania Ndungulile kabweka lakini kaliwa

    Siku hizi gia ya kupata umaarufu bungeni ni kutukana, kuzusha uongo, na kugoma kufuta kauli. kinachofuata hapo ni kufukuzwa/kuzuiwa kuhudhuria vikao, magazeti yana pick it up, ushakuwa maarufu!
  11. D

    JamiiForums Tanzania Rose Kamili amemsafisha Dr. Wilbrod Slaa. Hongera Rose Kamili na wenzako mliofanikisha hilo

    Unadai Rose Kamili kamsafisha Dr Slaa, lakini wewe kupitia tundiko lako hili umempaka matope Dr Slaa. Wakati Dr Slaa yupo katika jopo la mapokezi ya Baba Mtakatifu Pope John Paul tayari ana mahusiano ya ndoa na watoto!. Kwa taarifa yako hili likija julikana huko Vatican ni kashfa kubwa...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

    Wewe umeshindwa nini kuileta hiyo CV ya "Kamanda" wako? acha ugoi goi peruzi bunge site utaikuta hiyo hiyo!
  13. D

    JamiiForums Tanzania Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

    Duh! bonge la CV inatosha kabisa kumuweka pale Magogoni miaka 10!
  14. D

    JamiiForums Tanzania Tulichosema kuhusu Kigamboni kimetimia: Tukimbilie wapi?

    Jamani hii habari ya Kigamboni kweli na ni serious kuliko mnavyodhani. Mradi utaanzia feri navy yote, vijibweni, huko beach yote mpaka kibugumo. Watakaopona ni wale wa mradi wa viwanja 20000, Mzee Jumbe, Shule, Hospitali na vituo vya jamii basi. Wengine wote watalipwa fidia na kuhamishwa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania News Alert: Masha awasalimia Keko..

    Hakuna ubaya kwa waziri kutembelea gereza tukumbuke nae na raia ana haki kama raia wengine
Back
Top Bottom