Je DAWASA hamna utaratibu wa kumvumilia mteja? kwa mfano kama mteja anadaiwa na kaonyeha juhudi za kulipa angalau asilimia 75 ya bill hadi kufikia usomaji mwingine.
Apa kimara kuna watu wa DAWASA kila ikifika wakati wa usomaji wakikuta ata unadaiwa elfu 20 kati ya elfu 80 ulizotakiwa kulipa...
Maendeleo, Maendeleo!
Kumekuwa na maoni mengi juu ya "maendeleo" bila kutajwa hasa ni wap au nini kinazunguzwa, pia wengine wakizungumzia maendeleo kwa upande mmoja tu unaoweza kuonekana dhahiri kw macho kama kujengwa kwa barabara mijini na vijijini, kujenga hospitali na vituo vya afya, kujenga...
Sasa ni siku zaidi ya 50 ya kinachoitwa operation ya kijeshi inayofanywa na shirikisho la Urusi ambapo upande unaoshambuliwa (Ukraine) umejaribu kila namna kuzuia mashambulizi makali ikiwa ni pamoja na kuomba mataifa ya Magharibi kuiwekea vikwazo Urusi, kuharibu zana za kivita za Urusi na...
Ndgu yangu apo nenda mahakamani...lakni nakushauri kabla ya yoye tafuta mwanasheria akupe mwongozo...kwa nionavyo mimi uongozi wa kijiji hauna mamlaka hiyo ukizingatia hadi kuna makaburi n.k
Alafu scale ya mshahara ni moja..labda utifauti wa marupurupu, lakini kwenye huu mjadala nimegundua watanzania wengi tunapenda kupiga madili[emoji1787] kwa sababu mifano iyo ya watu wa custom waliopelekwa mahakamani ndo ushahidi kutetea maslahi ni mazuri kwa iyo customs[emoji2957]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.