Recent content by DonaldFoundation

  1. DonaldFoundation

    Game la ETS 2 halitaki kufunguka

    hilo folder limeandikwa profile lifungue then exit
  2. DonaldFoundation

    Unapenda Games? GTA VI inakuja ikiwa na mission kibao

    battlefield V, 4 2042, hardline zote nzuri sana sana ila Battlefield 4 premium edition ni nzur zaid intem of mission ila graphics nzuri ni Battlefield V japo zote hizo COD MWII na CODMWIII currently ndio game bora zaid ya action nmecheza zote hizoo sahivi nacheza COD MWIII niko kweny mission ya...
  3. DonaldFoundation

    Game la ETS 2 halitaki kufunguka

    fungua hilo game then likishafanya kama unavyosema nenda kweny disc C>document>eurotruck simulator 2>profile> then click hap alafu exit then utaona game limefunguka
  4. DonaldFoundation

    Marekani yapata kipigo chake cha mwanzo Red Sea. Yakiri meli yake kupigwa makombora ikihusiswa na vita vya Israel

    Marekani ni "moja ya nchi" ambayo ina jeshi la kisasa na kila kitu kuifnya kua nchi yenye majeshi na vyombo vya ulinzi bora zaid duniani kapigana vita vingi tangu kuasisiwa kwake kuanzia vita vya wenyewe kwa wenyewe, iraq, Afghanstan, Syria, Vietinam na sehem nying san. Kwenye modernwarfare...
  5. DonaldFoundation

    Ndege inayomsafirisha Nancy Peloce yaonekana ikikaribia kisiwa cha Taiwan. China yakaa tayari kwa lolote!

    Kabisa mkuu! Ubabe ubabe! Just pelosi asipoenda means US ameogopa na Pelosi akienda af asifanywe kitu kwamba china hamna kitu!
  6. DonaldFoundation

    Wamiliki wengi wa majokofu/friji wanauelewa mdogo juu ya utendaji kazi wake

    Kwamfano unataka kununua fridge lamtumba ni kitu Gani inatakiwa uzingatie Ili usije ukauziwa fridge fake!? Ni kipi kitakujulisha kwamba hili fridge ni zuri na halimwagi maji!?
  7. DonaldFoundation

    Wito wa maandamano Dar nje ya Ubalozi wa Marekani kesho

    Sometimes wahisani + washirika sometimes mabeberu + wanyonyaji! Mtoa mada unashindwa kuelewa kabisa dunia ya wakati huu niyauwazi na ukweli hususani katika nchi zilizoendelea ndiomaana unaona watu wanapaza sauti zao na mpaka inafikia wanaandamana! But kweny nchi nying zinazoendelea Hali kidogo...
  8. DonaldFoundation

    Mtandao wa TMZ Wadai: Kiongozi wa Taifa la Korea Kaskazini Kim Jong Un Amefariki Dunia

    Huyu jamaaaa ukifatilia toka wanapotoa taarifa kwamba anafanyiwa upasuaji mpka inafka point wanaitaji wataalam wa afya kutoka China na Chinese helth expecties wanaendaaa kuungana na Nk ousaaidia kupigania uhai wake taarifa za kifo chake it seem to be true tusubiri tu time will tell! Sent using...
  9. DonaldFoundation

    Wengi wanamkubali Bob Marley ila Mfalme wa Reggae duniani ni Lucky Dube

    It's your opinion! But Bob is the best kwamuda wote Sent using Jamii Forums mobile app
  10. DonaldFoundation

    Je! Marekani itaishambulia Iran?

    Well said! Jamaa umechambua vyema na umejitahidi wengi wanajua kwamba hi vta imeanza Leo na weng wakijua kwamba nivitisho tu lakin nyuma ya pazia Kuna vta kubwa sana kati ya Us na Iran! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. DonaldFoundation

    Hii ndiyo St. Marys Mazinde juu iliyotoa Tz One Form Six

    Nikweli kabisa Mazingira yna influence kubwa kwenye Elimu lakini mbali na mazingira jitihad binafsi na kujitambua vinauwezo wakukufanya ufike mbali na kufanikiwa! Kwamfano wote tunafahamu mazingira ya shule za kata shule hizi nyingi hazina walimu wakutosha, hazina maabara na atakama ipo...
  12. DonaldFoundation

    Rais Donald Trump ni Rais wa awamu moja tu

    Mkuu haufahamu takwimu halisiza ukuaji wa uchumi marekani curretly! sio kama unavyodhani kwasasa Trump ni real deal na 2020! itakua nirahisi zaid ukitaka kufahamu hilo fatilia kwa ukarbu hali ya marekani before Trump (means kipindi cha Obama) na fatilia baada ya Trump kuchukua hatamu!
  13. DonaldFoundation

    Huawei tayari wamekamilisha Operating System (OS) yao

    Us is still lead in technology but china catching up fast....!!!!
  14. DonaldFoundation

    Iran ni level nyengine waja na Land to sea missiles lina uwezo wa kupiga kilometer 700

    we jamaa nmefatilia nyuz zak nying kwanz kabsa ww n ant usa! then haukubalian na sias za us kwa dunia tatu unataman san uunited stat ishuke kiuchumi! broo naomb kidgo uchukue walau wasaa usome political strength of united state over army en stat intelligence som vzur uchumi wa united state af...
Back
Top Bottom