Recent content by Donald william

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake tunachoangalia........kwenye first date......

    dah kweli we nouma mpaka mfano wa mdomo unavyo kaa unajua aise
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake tunachoangalia........kwenye first date......

    sasa iki kinausianaje na kilicho ulizwa apo juu!! Make ujajibu swali unakurupuka tuu think mara mbili then jibuswali. Katika gr8 thinker kaka haupo.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Waliofeli Form Four kurudia mitihani bure mwaka huu?

    Izo gharama cwawalipe watu wa chuo watusaishie mitihani yetu tena kwa kipind hiki make wanachuo wako wengi sana na wanauwezo wa kusaisha mitihan hiyo.
  4. D

    JamiiForums Tanzania matokeo ya form 4 kutangazwa leo saa 10 jioni na naibu wazili wizarani

    Aise hii ni kwere arif!! Maisha yetu nikama panya mtegoni aise
  5. D

    JamiiForums Tanzania NECTA Kutangaza Matokeo Leo ya kidato cha Nne Leo.

    Jamani kwakweli kitu kimesemwa asubuhi sasa tunasubiria tuu kiwe hewan!! Fwatilien habari za asubuhi then mjiite g8t thinker
  6. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    nahisi ww ni kichaa ujielewi na hujui maana jf unakurupuka kutuma post ili watu wakusapot!!! Fikiria kwanz kabla kupost uku jf
  7. D

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    yeah men
  8. D

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Jamani eeh huu sio wanja wa kushushuana!!! Ni kupeana mawazo mazuri,kuulizana,kusahiishana kwa maneno mazuri na sio kashfa!! Embu tuwen ma g8t thinker coz tanzania nzima inasoma tunacho kiandika!!! Gotta good morning y'all
  9. D

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    kaka hapo baati ipo coz mwaka jana kuna kijana shule nilio malizia alichaguliwa PCB na alikuwa na B=c,C=c na P=d lakin alichaguliwa,,, so worry out bro
  10. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    Ok kwa mujibu wa smaneno yako mr safari ni sarari tuambie matokeo ni mwezi wa ngapi!!! Make tumechoka kuambiwa tarehe
  11. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    bora yuseme wewe kaka make mie nimechoka mwili na roho aise kwaajili ya haya matokeo yetu
  12. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    dah hahahahah umemuweza huyu jamaa anaesema kuwa anafanya kaz NECTA
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anapenda pesa sana kiasi kwamba naona kama yupo na mimi kwa ajili ya pesa

    Chakufanya zuga cku 1 unafanya kazi ya kuponda mawe (kokoto), then mwambie mpenz wako akupeleke ofisin kisha ukifika unabadili nguo na kuvaa nguo za kazi nauwakika ukimruhusu arud nyumbani humkuti tena na tatizo lako litakuwa kushnei!!!
  14. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    sasa tuambie kitu cha uwakika ni kuanzia jana leo mpaka tarehe ngapi kutakuwa na uwakika wa matokeo!!?
  15. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    Jaman tufikirien mara 7 hiv mnasema kuhusu udin kwenye NECTA wakati katika book lat yako kuna namba ya mtainiwa na ya shule!!! Sasa unafikiri baraza la usaishaji litapata wakati wa kuchakachua matokeo eti kisa wewe ni muislam. Embu tuache tenda dhambi za kujitakia bhana
Back
Top Bottom