matokeo ya form 4 kutangazwa leo saa 10 jioni na naibu wazili wizarani

Jf imevamiwa siku hizi,
"great thinker philosophy" naona inakufa,

ndugu hii ni post ya mwaka jana, sasa nawashangaa nyie mnaomponda mtoa uzi,
my take "angalia kwanza tar ya thread kuwa posted kabda ya kupost comment"
 
jamani matokeo yatakuwa hewani leo kuanzia saa moja ........ila saa kumi waandishi wa habali watakuwa pale kumsikliliza naibu wazili
ila kwa kifupi ni kwamba......nimesikia kiwango kimeongezeka asilimia tatu tofauti na mwaka na nimesikia watahininiwa 2345
wamefutiwa matokeo......shule tisa hazina matokeo..........source nimepewa na one of my friends wanaofanya kazi baraza......alinipigia simu

haya matokea tokea yanatoka lini jamani. tokea tar 29 hadi leo tarehe 16th Feb hamna cha majibu wala nii. hv hawa necta wana akili timamu kweli au?
 
Hawafikirii maslahi ya wote wengne kupata raha ad matokeo yaje.wenyewe wanafurah na watoto wao
 
Back
Top Bottom