Recent content by don88

  1. don88

    Diamond Platnumz akwaa skendo ya kuiba wimbo mpya

    sawa unayejua mwenye akili ya kutoona kwa macho! Angalia usijesalitiwa ukakataa kwenye fumanizi wakati unashuhudia kwa macho.
  2. don88

    Diamond Platnumz akwaa skendo ya kuiba wimbo mpya

    DIAMOND anazidi kudhihirisha kuwa anajificha nyuma ya wasanii wake baada ya kushindwa kutoka vizuri na wimbo mpya. Skendo iliopo mezani Diamond ameiba wimbo wa msanii chipukizi wa NAMIBIA anaitwa King Tee Dee au KIng TD... alikuja Bongo kurekodi kwa kumshirikisha Diamond lakini alivyoondoka...
  3. don88

    Mama Diamond aeleza alivyomdunda Mobeto

    Eti aeleza alivyomvua wigi na kumtupia viatu nje Madale, asema anamchukia ile mbaya ch akuchekesha sasa eti amemsifia Zari. Ubuyu wa moto moto unasema kuwa baada ya kuvuma kwa taarifa mitandaoni kuwa mama wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’ amempa...
  4. don88

    Baada ya miaka 35 kundi la ABBA linarudi tena dah!

    dah ilikuwa bonge la ngoma, ukisikiliza lazima usingizi ukupitie
  5. don88

    Huyu Corazon anachofanya siyo kabisa!!!

    MWANAMITINDO mwenye shepu ‘tata’ Corazon Kwamboka amechafuka mtandaoni mara baada ya kutupia picha ya nusu utupu akiwa na Mzungu anayedaiwa kuwa ni mchumba wake. Corazon ambaye pia ni mwanasheria nchini Kenya, aliweka picha hiyo ikimuonesha akiwa kifua wazi na Mzungu huyo huku akiwa...
  6. don88

    Baada ya miaka 35 kundi la ABBA linarudi tena dah!

    Kwa hawa wananikosha sana tena wapo wote, walikuwa na sauti flani hivi kama za kitototo
  7. don88

    Baada ya miaka 35 kundi la ABBA linarudi tena dah!

    KWa wale vijana wenzangu wa zamani wanaweza kushangaa kidogo kama kweli kundi hili lililowahi kutamba sana miaka 35 iliyopita na vibao kibao kama vile Chiquitita, Money Money na nyingine kibao. Habari ikufikie kuwa kundi hili lenye vichwa hatari kama vile Bjorn Ulvaeus, Benny Andersson, Agnetha...
  8. don88

    Huyu ndiyo Profesa Jay ninayemfahamu

    Lejendari mwenye kiota chake ndani ya Tasnia ya Bongo Fleva, Profesa Jay amerudi kivingine. Nimekuwa nikimfuatilia kwa muda mrefu kuanzia kipindi kile cha HBC, kipindi cha Chemsha Bongo, Bongo Dar es Salaam na huu ujio wake wa sasa wa PAGAMISA akiwa na Mr T Touch ameonesha dhahiri kuwa atabaki...
  9. don88

    Gazeti la Mawio lafungiwa kwa miezi 24 kwa kosa la kuwahusisha Mkapa na Kikwete sakata la madini

    Habari zilizonifikia inadaiwa kuwa Gazeti la Mawio limefutwa kutokana na habari iliyoandikwa leo.... Taarifa zaidi zinakuja...
  10. don88

    Wimbo Mpya wa Saida Kalori nomaaa kachanganya nyimbo za Diamond, Darassa, Belle9 ndani

    Huyu ndiye Saida Kalori ninayemjua msikilize then nipe komment chini...
  11. don88

    Play Gal ( Tina zoa zoa)

    hapo siyo mwisho bado inaendelea... NITAWAWEKEA YOTE
  12. don88

    Play Gal ( Tina zoa zoa)

    JOMBA siku nyingine unapokopi HADITHI za watu kama HII uwe unawapa CREDIT zao... Maana hii ni HADITHI yangu ila unachokifanya ni kama WEWE ndiye uliyeiandika... HAYA ukimaliza kuwawekea nenda tena GOOGLE ukatafute na PLAY BOY ipo uje uwawekee... By Mwandishi wa Hii hadithi, Carlos.
  13. don88

    Msaada jamani kwa mtu mwenye hizi nyimbo za zamani

    ninazo kwa laptop karibu zote fanya kuni pm
  14. don88

    Msaada jamani kwa mtu mwenye hizi nyimbo za zamani

    Ninazo nyingi tu fanya kunitafuta kwa namba 0713133633
  15. don88

    Ombi kwa WCB: Mchukueni Nuruel..

    Kiukweli namjua vizuri Nuruely ni bonge la mwanamuziki kinachomuangusha ni sapoti kwa mashabiki na vyombo vya habari. Ana kazi nyingi nzuri ambazo amezitoa lakini hazipewi kipaumbele sana.... Baada ya kuachana na B Band aliamua kupumzika kidogo kimuziki akaenda Mtwara kuishi na familia yake...
Back
Top Bottom