Wimbo Mpya wa Saida Kalori nomaaa kachanganya nyimbo za Diamond, Darassa, Belle9 ndani

Watu siku hizi wameishiwa ubunifu kilichibaki ni kuungaunga tu.Sitaki hata kuusikiliza kama kafanya kuungaunga.
 
Kajitahidi ni.mzuri ila vocally nahisi kuna kitu kinamiss sijui ni nini nahisi hauchangamki
 
Mkuu siyo vizuri kuwaponda wazee, amejitahidi kwa umri wake.
sio kwamba nimeponda, ni wa kawaida tu yaani mzuri..ningesema haufai au mbaya hapo ndio ungesema nimeponda..Ila nawaheshimu sana wasanii kwa kazi zao...Tuko sawa ee
 
Sauti yake yakipekee sana huyu mama!
Haina haja ya kuipika kwenye tanakilishi!
Safi sana
 
Back
Top Bottom