Recent content by DON

  1. D

    Napendekeza serikali ifunge projector madarasa yote shule za msingi badala ya kuajiri walimu, hii itasaidia kuokoa takriban trillion 3 Kwa mwaka

    Tungeanza na bunge kwanza halina maana yoyote, waalimu ndio nguzo ya taifa waliosoma wamenielewa
  2. D

    Ole Sendeka: Rais Samia ni kiongozi pekee wa juu nchini Tanzania aliyeleta maendeleo makubwa kwa muda mfupi zaidi

    Ulikuwepo muda mfupi wakati wa Nyerere tufanye comparison na huu wa Samia
  3. D

    The waste president ever!!!

    Imbecile and psycopath
  4. D

    Sehemu ambayo ukipata mke hutokaa ujutie

    Mbona hao wengine wanaongoza kwa ukimwi shida ni nini kama wametulia
  5. D

    Jeshi liheshimiwe na wanasiasa

    Mkuu wa majeshi hajiamini na hajui kazi za jeshi
  6. D

    Siasa za majitaka: Watanzania tumefika huku?

    Hii anazungumzia siasa au dini?
  7. D

    Mwaipopo akemewe ataleta balaa la chuki za kidini

    Njaa hamuabudu Mungu anatumika, na hana uelewa wa dini yoyote
  8. D

    Kuzuia uchafu kwenye uchaguzi, tufute mishahara kwa wachaguliwa wote

    Wabunge wawe watu wenye kiu ya kulete maendeleo ya wananchi wao kwa hiyo wajitolee na kuyaishi maneno yao kuwa wananchi wanawapenda na kuishi nao. Kwa sasa kila kiongozi ana walinzi sijui ni kwa nini ingawa wanasema wamechaguliwa kwa kishindo na wananchi wanawapenda?
  9. D

    Updated List: Haya ndio makabila yenye wasomi zaidi Tanzania

    Je wana akili ya kulete maendeleo? Angalia mazingira yao wanayoishi vijijini, bahati mbaya nilipita Usukumani mwaka 1970 Dec nilipita karibu mkoa wote mpaka mkoa wa Musoma nikaishia Isbania na kurudi APRIL 1971. Maendeleo yalikua zero
  10. D

    Je nifanye nini Kwa kisa hiki Vodacom Vs Tigo?

    Ni kweli ilishanitokea nikilipia DSTV kipindi cha nyuma wakati wa Xmas
  11. D

    Maovu wanayotendewa Wakristo na Waafrika weusi huko Israel

    Sisi weusi popote duniani tunadharauliwa si waarabu si wazungu si wahindi si wachina etc ila sisi tunaendelea kuingia dini zao na tumesahau asili yetu!
Back
Top Bottom