Kumbuken kuna wengne walipokuwa olevel wazaz wao walikuwa angalau wanavijicent cs walikuwa wamejishikiza kwa watumish wa gvt ila baada ya hao mabos wao kutumbuliwa nao wakakosa kaz, sasa vijana wao watasomaje. Sio mnashabikia tu, et walengwa kuna wengne wana wazaz wote bt n kama hawana wazaz tu
Dah! Sasa waliwapangia vyuo ili iweje. Loan apprctn fee 30000 mpaka ikamilike inagota kwenye 70 mpaka 80. Thn wanawanyima au kuwapa nusa ya gharama za apprctn. Yan bora ya habdsome boy yule maisha yalienda poa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.