Recent content by DON KILLUMINATI

  1. DON KILLUMINATI

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kina metre 60 urefu na upana metre 33, kinauzwa Mil 75

    Nimependa unavyo react "madongo" unayotupiwa, hakika wewe ni moja kati ya wauzaji bora niliowaona hapa JF, endelea na moyo huo huo wa ku control emotion and knowing what to reply. Ushauri wangu, kama una nia ya kuuza fasta, ondoeni hayo magoli, na weka mazingira kionekane ni kiwanja cha...
  2. DON KILLUMINATI

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kina metre 60 urefu na upana metre 33, kinauzwa Mil 75

    Looks like play ground!! To mention sqmt, you need to multiply (60x33) sqmt
  3. DON KILLUMINATI

    JamiiForums Tanzania Ninadaiwa Tala, Branch na M-pawa. Nisipowalipa watanifanya nini?

    Hawa jamaa ukikopa kwa kutumia APP yao, then ukachelewa kurudisha, just one day, message za vitisho watakazokutumia, unaweza ukajikuta umeghairi kulipa kabisa ili tu uone watakufanya nini.
  4. DON KILLUMINATI

    JamiiForums Tanzania Misalaba wavaayo watu maarufu akina Diamond, Masanja na wengineo

    Siielewi hii misalaba yenye duara juu, ina signify kitu gani? Naona ma celebrity kibao wakiivaa kuanzia Diamond Platnumz hadi Masanja Mkandamizaji Mwenye uelewa naomba afafanue, maana sijawahi kuiona popote kama alama za Christianity au Kanisani.
  5. DON KILLUMINATI

    JamiiForums Tanzania Nataka nimchukue mtoto wangu, ila tatizo ni dini

    TITLE: NATAKA NIMCHUKUE MTOTO WANGU Ndani: Nimemchukua Mwanangu Conclusion: Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu
  6. DON KILLUMINATI

    JamiiForums Tanzania Nawe ni mtumiaji wa neno LOL? Soma hapa

    LOL = Lowassa Our Leader
  7. DON KILLUMINATI

    JamiiForums Tanzania Tume ya uchaguzi NEC imeuza taarifa za wapiga kura kwa mgombea wa CCM!

    Acha ubishi hujawai kutumiwa text ikaonesha KAYMU, FACEBOOK, NMB, CRDBBANK etc?? Huwa umesave hizo namba hadi ina display jina?
  8. DON KILLUMINATI

    JamiiForums Tanzania Joseph Ludovick ni nani ndani ya CHADEMA na kwanini hana mawakili?

    Wakuu Poleni na matatizo, ajali, na vifo. Huyu mtu anayefahamika kwa jina la Ludovick Joseph amekuwa akitajwa tajwa sana kwenye matukio ya kusikitisha. Alitajwa wakati wa sakata la ugaidi la Rwakatare, alitajwa na Absalom Kibanda kwamba miongoni mwa waliomtesa anafanana na Ludovick. Yote...
  9. DON KILLUMINATI

    JamiiForums Tanzania Mimi ndo nitakuwa wa mwisho kufunga mlango wa CHADEMA ikifa

    Nimeirudisha hii ijadiliwe tena
  10. DON KILLUMINATI

    JamiiForums Tanzania Mtoto mwenye miaka 3, mwenye uwezo wa kufanya hesabu za Sekondari na kuongea Kiingereza vizuri

    Wewe bibi unajidai unajua biblia wakati ni mbumbumbu, unajua why Yesu alikuja duniani? Unajua msingi mzima wa maisha ya Yesu kuanzia kuzaliwa kwake na hata kufa na kufufuka kwake? Nenda ukasome Yohana 1 kuanzia mstari wa kwanza ndio utaelewa Yesu katika uanadamu wake ni nani na katika Uungu...
  11. DON KILLUMINATI

    JamiiForums Tanzania Mtoto mwenye miaka 3, mwenye uwezo wa kufanya hesabu za Sekondari na kuongea Kiingereza vizuri

    Tehe teheeeee, naona kibibi umepanic, usipanic unless utufafanulie kwa nini umekuwa mwepesi kuamini kwamba ni majini, je huamini kwamba mwenyezi Mungu anao uwezo wa kumpa mwanadamu yoyote kipaji na akaonekana anafanya mambo ambayo wengine wanayaona ni ya ajabu? Kwa mtazamo wako unaonekana...
  12. DON KILLUMINATI

    JamiiForums Tanzania Mtoto mwenye miaka 3, mwenye uwezo wa kufanya hesabu za Sekondari na kuongea Kiingereza vizuri

    FaizaFoxy ni kweli unenacho, ni kama ilivyokuwa kwa yule Sheikh Sharif enzi zileeee aliyewahi kuwawehusha Waislam wakawa wanamsujudia utadhani mungu wao, lakini mwisho wa siku yale majini yalikutana na nguvu ya Yesu yakafukuzwa yote. Nadhani huyu wampeleke kwa watumishi wa Mungu akafanyiwe...
  13. DON KILLUMINATI

    JamiiForums Tanzania Justice for Daudi Mwangosi

    Justice for Daudi Mwangosi
Back
Top Bottom