Justice for Daudi Mwangosi

Justice for Daudi Mwangosi

Picha za kifo cha Mwangosi kinatumiwa kimaslahi na cháma cha siasa!!!
 
Why u don't question about the killing of Dr. Sengondo Mvungi? And what has been done to date about all the suspects who were reported? Think critically dance according to the beats this is Tanzania full of comedians,
 
RIP Mwangosi, daima tutakukumbuka na hatutasahau unyama uliofanyiwa kwa kutekeleza majukumu yako.
 
jamaa aliuwawa kinyamaa...sema tz hii hakuna haki.naona mpaka sasa kimyaaa.haki mbinguni duniani kumejaaa udhulumati tu
 
Mtu hawez kufa kwa haina hile ww ukasema ulikuwa upepo tu nchi yetu hipo siku watu wataenda uolanzi kujibu wanachofanya wakati huu
 
Back
Top Bottom