Habari zenu wana jamvi, kwa wenye kuhitaji karanga kuanzia tani 4 na kuendelea wanakaribishwa saana, kwa aliye tayari naomba tuwasiliane PM. Mimi kwa sasa napatikana kaliua Tabora, popote Tanzania unaletewa baada ya makubaliano ya bei.
Watanzania wengine sijuwi huwa mnawaza nini.., fanya research uje na fact kuliko ujinga huu uliotuletea., labda kama kuna Japan nyingine huko kijijini kwenu na siyo Japan tunayoifaham wengi wetu.
Unakula, unashiba vizuri na unalala vizuri kwa kuridhika na hali yako., kaa kimya na endelea kula na Kulala. Hujuwi hata kuandika., aliniambia nje ya nchi ndio nin..,
Habari zenu wana janvi,
Imebidi uzi huu niwashirikishe maana ni kitu ambacho hata mimi kimeniuma sana baada ya kutokea. Sisi ni binadamu na huruma mwenyezi Mungu alituwekea katika nafsi zetu japo wapo binadamu wasiokuwa na huruma hata chembe.
Kuna jamaa mmoja alikuwa na mahusiano na binti...
Kweli Mheshimiwa Zito uliyoyasema ni kweli tupu, ila kwa kuwa watu wanasimamia ugali wao, wanaweza wasione umuhim wa mambo uliyoyasema. Serikali ya awamu hii ni sawa na Mzee wa familia asiyetaka kusikilizia maoni ya mtu yeyote na kujiona yeye ni perfect zaidi. Ila wengi walikuja na wakaondoka...
Habari wanajanvi,
Namkaribisha Pm mwanamke aliyetayari kwa moyo wake wote na siyo kwa kujaribu, awe mweupe wastani, mrefu, mwembamba na elimu kuanzia form six na kuendelea. Sifa zangu mimi ni mrefu, elimu ya chuo na ninatokea Kanda ya ziwa. Kwa aliye tayari anakaribishwa sana ila ujue nini...
Tatizo la mtu mweusi anapopata nafasi flani basi anasahau kama cheo ni dhamana., awaulize wenzake waliopita kuna mambo ya kijinga kabisa walifanya nawanajutia mpaka leo kwa maamuzi yao ya ajabu.., ipo siku mtanzania ataamka na kuondokana na ukoloni wa ndani.
Habari zenu wanajanmvi,
Natafuta soko la ubuyu kwa bei ya jumla. Yaani mimi natoa shamba na unakuwa bado haujaandaliwa kwa ajili ya kuliwa.
Kwa aliyetayari tuwasiliane kwa namba 0755979447
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.