sema bei yak ijulikane muda wakukutafuta sisi hatunaHabari zenu wana janvi.., natafuta soko la ubuyu kwa bei ya jumla. Yaani mim natoa shamba na unakuwa bado haujaandaliwa kwa ajili ya kuliwa, kwa aliye tayari tuwasiliane kwa namba 0755979447
soko ulipata?Habari zenu wanajanmvi,
Natafuta soko la ubuyu kwa bei ya jumla. Yaani mimi natoa shamba na unakuwa bado haujaandaliwa kwa ajili ya kuliwa.
Kwa aliyetayari tuwasiliane kwa namba 0755979447