Recent content by Domo Zege

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Ofisi ya kukodi kwa wiki moja Dar

    Nenda pale Seedspace wapo Victoria unaweza kupata ofisi kadri ya mahitaji yako
  2. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kukopeshwa Milioni 5 dhamana hati ya nyumba

    Nyumba iko wap?, thamani yake?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya Pazia; TFF -AZAM TV Haki ya Matangazo

    Usiwe kigeugeu katika matamshi yako, ulisema unataka kuona tangazo, limewekwa, saizi umebadili kauli. Fanya tafiti yako ya kutosha kabla ya kuandika hapa
  4. D

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa DPP Mpya. Kama itampendeza, aanze kwa kutumia Nolle, kusafisha Uchafu wote wa mtangulizi wake...

    Kama mwandishi wa habari na nguli katika tasnia hii, ningekupongeza sana kwa makala kama ungeandika kipindi uchafu unatokea na si kupongeza sasa wakati mamia na maelfu ya watu wameumia
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya Pazia; TFF -AZAM TV Haki ya Matangazo

    Tangazo la tenda
  6. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mzalishaji na msambazaji wa sabuni za magadi (mawingu) kutoka Kigoma

    Kuna vijana wapo chuo cha Sukari Kidatu wanazalisha sabuni kwa mahitaji yako wanaweza kukusort, cheki na mwalimu wao 0717 535 062
  7. D

    JamiiForums Tanzania Waumini wa FGBF wampa zawadi ya nyumba Askofu Kakobe na Mkewe

    Ndio yenyewe, ni hekaru
  8. D

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza Viwanja Sehemu mbalimbali Tanzania

    Mkuu weka contact zako
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa mmoja wa wale watoto machokoraa Mwanza mwaka 2010/2011

    Ni kumfanyia cross examination to find out the truth, just 50% sababu hii dunia ina mengi. Ila inaonesha ni kijana mzuri. I am also interested to support him. Nitaku PM mkuu
  10. D

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa mmoja wa wale watoto machokoraa Mwanza mwaka 2010/2011

    Story yako inafanana na ya Isaya. Naomba ukipata mda pitia mahojiano kati ya Isaya na Salama utajifunza kitu ina part 1 &2. Nimekuwekea part 1 hapa chini
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa mmoja wa wale watoto machokoraa Mwanza mwaka 2010/2011

    I wish ningempata yule mtoto tena, nimetumia njia zote nimeshindwa, yule mtoto ananiumiza mpaka leo nahisi nina deni kubwa sana kwake. Ishallah, one day tutakuja onana.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa mmoja wa wale watoto machokoraa Mwanza mwaka 2010/2011

    Hichi kipande kimenikumbusha mbali sana, nikiwa nafanya kazi sehemu mwaka 2008 dada wa kazi katika hiyo nyumba alikuwa na maisha duni sana alikua na mtoto wa miaka 3, mtoto wake alikua very smart, kwa kipindi hicho mtoto alikua anajua kusoma na kuandika bahati mbaya uyo binti alitoroka...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Tuna design Logo (nembo) za company, NG’Os, Hotel, Tours & Safaris, Agriculture, vikundi

    Mkuu, logo bei ni iyo iyo haishuki?
  14. D

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU na CAG fuatilieni hili la Mkurugenzi wa UCC

    Nimecheka sana eti "ana domestic problem", ndio kitu gani iyo mkuu?
  15. D

    JamiiForums Tanzania Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

    Nasubiri sehem ya nne naona mda unazidi kwenda. Mkuu tunashukuru kwa kushare hii historia nzur sana
Back
Top Bottom