Tuna design Logo (nembo) za company, NG’Os, Hotel, Tours & Safaris, Agriculture, vikundi

Nzuri sana kaka,
Nimeona wabunifu wengi, linapokuja suala la sample, wako vizuri sana, ila sasa kwenye kazi halisi (unapompa kazi ... ni asilimia chache sana, zinakua za kuridhisha.

Sijui kwako wewe hili likoje?
 
Mimi kwa upande wangu mpaka uridhike au mpaka upate kile ulichokikusudia kukipata! Pia hata hizo sample za kz uliziona hapo ni kz za watu zilizokamilika mpaka imefikia hapo mteja tayar anakuwa ameridhika na Design niliyofanya!

Pia mm mwenyewe napenda kufanya kazi zenye kiwango kwa kuwa kazi yako pia nitaitumia kama sample katika matangazo yangu ili kupata wateja wengine. Kwahiyo siwez kuridhika kukupa kitu ambacho kiko chini ya kiwango hata mm mwenyewe nahofia kushusha Brand yangu!
 
Nipe Mfano wa unachokitaka ili nikuelewe vzr zaidi kipi unamaanisha!

Yaani logo ambayo inakuwa ni maneno tu bila hiyo background nyeupe, yawe ni maneno tu niliwahi muelekeza mtu akaniambia sijui watermark sasa mi si mtaalamu wa hayo mambo ila nahitaji kitu cha ivyo. Yawe maneno tu bila hiyo background nyeupe, background iwe colourless
 
Ok! Nishaelewa unachohitaji nicheck whatsapp tufanye biashara 0658 060 476
 
Back
Top Bottom