Recent content by dominicky kavishe

  1. dominicky kavishe

    JamiiForums Tanzania Matangazo channel ten, EATV na Star TV yamepungua

    Habari za muda wakuu;; Binafsi nimekuwa ni mfuatiliaji mzuri sana wa matangazo ya TIBA mbadala kutoka kwa wanaojiita madaktari wa tiba asili pamoja na wanaotoa ushauri kwa wanajamii kuhusu aina ya vyakula vya kuimarisha miili mfano matunda na ulaji wa vyakula asili, wengi wao wamekuwa...
  2. dominicky kavishe

    JamiiForums Tanzania Vigezo gani hutumika kumuita mtu Mtakatifu?

    This is best answer men
  3. dominicky kavishe

    JamiiForums Tanzania Hivi kumiliki msichana mzuri unatakiwa uweje?

    asipoelewa na hii basi tena;
  4. dominicky kavishe

    JamiiForums Tanzania Iphone 7 kuzinduliwa Leo

    HAHAHA; maisha yanaenda kazi sana
  5. dominicky kavishe

    JamiiForums Tanzania Iphone 7 kuzinduliwa Leo

    hawa watakuja kuwa kama samsung tu; mara S2, S4, S5, S
  6. dominicky kavishe

    JamiiForums Tanzania Vigezo gani hutumika kumuita mtu Mtakatifu?

    cha kufanya toa majibu na Ushauri; suala mtu kutokuwa mkatoliki sioni kama lina mantiki hapo, sababu inawezekana anataka kuwa mkatoliki, maana halisi ya kueneza injili ni kuwapata waliopotea, mpe maelezo akielewa ahamie.
  7. dominicky kavishe

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

    SIO KWELI fuatilia siku 360 silianza kuhesabiwa lini
  8. dominicky kavishe

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msijifiche kwa Lipumba

    na ww acha kujificha nyuma ya chadema; jadili ya LUMUMBA.
  9. dominicky kavishe

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Spika Ndungai, "Mwenda mbio kaagana na nyonga"

    akili kumkichwa
  10. dominicky kavishe

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya kutumia majina bandia JF ni nini?

    jifunze kuandika ili post yako ieleweke
  11. dominicky kavishe

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Emmanuel Buholela kwenda ikulu

    kateuliwa lini mkuu/
  12. dominicky kavishe

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Emmanuel Buholela kwenda ikulu

    hebu tupe ukweli kutoka lumumba
  13. dominicky kavishe

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Prof. Lipumba kuhamia ACT Wazalendo muda wowote

    then tuseme CUF sio baba yake wala mama yake
  14. dominicky kavishe

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya kutumia majina bandia JF ni nini?

    kwahyo wote waliotumia majina ambayo sio ya kwao hawana akili
  15. dominicky kavishe

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya kutumia majina bandia JF ni nini?

    Tatzo ni mind set aisee; confidence ya wengi hujengwa kwa majina bandia
Back
Top Bottom