Recent content by Dolali

  1. Dolali

    NMB kupata faida inayovunja rekodi zote ya TZS 775 bilioni ni matokeo ya Sera chanya na rafiki za kibiashara za Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

    Sitasahau siku NMB Walisema nimekosea neno la Siri Hadi Leo imebaki kua Siri na laki nane zangu zikaota mbawa
  2. Dolali

    Anayemiliki Singida na Ihefu achunguzwe, ligi ya NBC inakwenda shimoni

    Hii SPANA utampasua utosi 😁
  3. Dolali

    Simba yasajili foward Mgambia, Pa Omar Jobe

    Hapo kuna wazee wa 10 percent washafanya Yao... Usikute Hana hata nusu ya uwezo wa Moses Phiri
  4. Dolali

    Kausha Damu ni janga la kitaifa

    Kausha damu ni Janga kubwa ni vile tu mifumo ya nchi ipo ipo tu so mateso yatazidi Tu.. Mwaka juzi nilikua nafanya kazi kwenye moja ya kampuni ya kausha damu. Sasa kuna dada mmoja alikopa halafu akashindwa kulipa... Siku moja nimeenda kudai akanikaribisha vizuri ndani kwake nikaingia na kukaa...
  5. Dolali

    Fahamu haya kuhusu Langa Kileo

    Kama Una familia ni Bora usiniige Mimi Hukawii kuuza nyumba usipokua makini
Back
Top Bottom