Recent content by DoktaNecha

  1. DoktaNecha

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri

    Hili wazo zuri sana. Kama kuna watu wa elimu hapa naomba walibebe wakalijadili na kuliangania zaidi kwa maslahi mapana ya jamii na nchi kiujumla.
  2. DoktaNecha

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    STAY HUMBLE EH!
  3. DoktaNecha

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    💩💩💩💩💩 😃😃
  4. DoktaNecha

    JamiiForums Tanzania Israel hostages looks happy and healthy

    Kabla ya kumtusi mtukufu wa watu kwanza mjue alivo kwa undani wake. Mtume Muhammad (s.a.w) ndie aliyetoa mafundisho ya kuwa "Wafanyieni wema mateka wa vita". Pia ndio yy aloweka sheria za vita ya kuwa "wanawake, watoto na wazee wasiuawe. Miti isikatwe, wanyama wasiuliwe. Vyanzo vya maji...
  5. DoktaNecha

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    STAY HUMBLE EH 😂😂😂🤣🤣🤣
  6. DoktaNecha

    JamiiForums Tanzania Experience ya miaka 15 ya kujiajiri: Nadiriki kusema biashara ndio sure way onto true riches

    Watu kama nyinyi ndo tunawatafuta. Mko wachache sana. Ubarikiwe
  7. DoktaNecha

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    "STAY HUMBLE EH"
  8. DoktaNecha

    JamiiForums Tanzania Marekani yaandaa na kutuma vikosi barani Asia kwa ajili ya vita na China

    I just wish JF kicks out such Idiots like this! What a waste of sperm Aargh!
  9. DoktaNecha

    JamiiForums Tanzania Misemo gani ya kijinga na kipumbavu watu hutumia kufarijiana?

    Kesho pia siku
  10. DoktaNecha

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Emegency Temporary Passport kabla ya Jumatatu

    Nilishawahi patumia hapo kwa ishu kama hii. Ni njia rahisi pia. Muhimu kuelewana nao tu
  11. DoktaNecha

    JamiiForums Tanzania Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

    Haipendez kufanya dhihaka ama kiburi juu ya nafasi si yako. Chukulia mfano mtu akija jimilikisha mali yako ile ya thamani kubwa kabisa kuwa ni yake, hautahamaki ww, hautamkasirikia, hautapigana nae waziwazi? Nakushauri acha kabisa, ww pinga dini yoyote usiyoitaka sawa ni maamuzi yako. Lkn...
  12. DoktaNecha

    JamiiForums Tanzania Kigamboni vs Mkuranga, Wapi Panafaa Kununua Kiwanja Kwa Ajili ya Asset?

    Kivipi mkuu ebu pambanua vizuri
  13. DoktaNecha

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kupeana machimbo mbalimbali ya vifaa vya ujenzi na bei zake

    Naweka siti hapa. Harufu ya kujenga imekarbia tena.
Back
Top Bottom