Namkumbuka Academic teacher aliyenifundisha sekondari alikuwa anazungumza mara kwa mara tena pasi kuficha "Ualimu ni Utumwa".
Kazi ya ualimu ni wito,mwalimu amefundishwa chuoni kuwa ni MLEZI(kama mzazi) sasa majukumu ya mzazi kwa mtoto ni nini?.
Sawa mwalimu amekosea kwa kutojizuia na mihemko...
Naam,chagonja alikua mtemi kweli hakika hicho kitengo kilimfaa,operesheni na mafunzo inamhitaji kamanda aliyeshap katika utekelezaji na uchukuaji wa hatua,inatakiwa pia achukue hatua binafsi kumaliza matatizo.ndio maana chagonja alikua na roho ya paka na mambo yalienda safi
Sent using Jamii...
Wadau nadhani kwema,
Nisiende mbali sana,ninajua humu kuna ambao wana ufahamu na hizi mamlaka za hawa wakuu wa vyombo vya usalama kama vile Jeshi,Polisi,magereza,uhamiaji lakini hususani Jeshi la wananchi na Police kwa kuwa vinachukua mamlaka kwa kiasi kikubwa na hata uapisho wa wakuu wake...
Kamanda nsato marijani,namuelewa sana huyu mzee kwa busara na kupangilia hoja katika maamuzi mbalimbali.Ninajua chanzo cha yeye kutolewa na kuweka kamanda sabbas.
Mkulu anapenda viongozi ambao akiwapa kitengo wanashughulika chaap halafu anapenda mtu binafsi awe anajiongeza.Mfano,Uwepo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.