Kaniambia ananipenda baada ya kuolewa

Kaniambia ananipenda baada ya kuolewa

Katika hadithi yote, mi nimeona “UPENUNI” tu. Ndo wapi huko?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu kwani umesikitika shauri yake nawaza siku alie toa mahari akilijua hili jambo sijui itakuaje Mimi ndio maana nitaendelea kupigana kivyangu mambo mengine nikuji ongezea shida tu japo yana umuhimu
 
Unafikiri hata hiyo ndos nipo kwa sababu ali haaidiwa huwenda kupata kazi kwa haraka ili maisha yake ya badilike sio kupenda kwake ila ikili ya kujiongezaga akina hawa hamna
 
Back
Top Bottom