Kaniambia ananipenda baada ya kuolewa

Kaniambia ananipenda baada ya kuolewa

Uko vizuri..emb niambie ya moyoni mimi tuone
Huyo alishaolewa huwezi kuwa nae
Alifanya makosa kutokuwa wazi mapema

Mimi kama nmempenda mtu kwa dhati toka moyoni nitavumilia nitashindwa mwishowe nitamwambia tu bila kujali atanichukuliaje .,kwani Ni dhambi!??? ,na hii hutokea Mara chache sana...kwa sababu najijua mtoto wa watu Sio Malaya mie...na Hadi nimemfata kumwambia nimeacha wote walionitongoza nikamfata yeye Basi ajue nampenda kwa dhati

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh mkuu mimi sio mtoto,kwani miaka 30 ni mtoto,kijana
Sio Tamaduni ya Mwafrica . Tamaduni ya kutongoza 95%au zaidi duniani mwanaume ndio humtongoza mwanamke. Angalia hata kwenye mayoutube. Asilimia kubwa ya wanawake akikupenda atakutega. Sasa wewe ulifikiri unapewa mboga bure na wewe unachukua bila kusoma mchezo. We bado mtoto. Mimi nko Thailand ivi sasa. ni kawaida ya mwanaume kumtongoza mwanamke. Sio kawaida mwanamke kumtongoza mwanaume. Ila mwanamke kazi yake ni kutega mtego. Ukinasa unakuwa wake. Mwanamke anakutongoza mwanaume indirectly kama hauna akili basi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom