Recent content by Dog breeder

  1. Dog breeder

    Puppy yupo sokoni

    Habari wadau puppy pure german shepherd yupo sokoni ana umri wa miezi 4 amepata chanjo zote. Naweka picha za zake na wazazi wake. Kwa mawasiliano zaidi WhatsApp au piga 0744-914337.
  2. Dog breeder

    Samsung yaachia Operating system update Andorid 12 kwa simu S21 Ultra

    Hiyo si zani kama itapewa update maana tecno utaratibu wa update hawana sana. Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
  3. Dog breeder

    Samsung yaachia Operating system update Andorid 12 kwa simu S21 Ultra

    Zote nzuri tofauti ni features ila note ilikuwa inapendelewa kidogo sema now note hazitoki imebaki s series ikiwa na features zote za spen tegemea kwenye s22 ultra Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
  4. Dog breeder

    Oppo simu Bhana!

    Hiyo kitu ipo kwenye simu karibu zote inaitwa Google frp bypass.Unapo fungua gmail yako simu yako inakuwa registered by Google. Kwa hiyo ukitaka kufanya hard reset inakutaka password na ukifanya hard reset ikiwa off itafanya ila ikiwaka itataka email iliyokuwepo na password yake hata uweke...
  5. Dog breeder

    Napata sana kiu ya maji wakati wa usiku

    Ungekuwa ukistuka unakunywa bia ningekushauri uangalie isije kuharibu mwili wako lakini maji mbona safi tu.Ila kwa kujiridhisha nenda kacheki afya.Ila nadhani pia hali ya hewa ni ya jua kali sana na joto pia yaweza kuchangia japo unasema unakunywa sana ila hujakizi mahitaji maybe ndo mana...
  6. Dog breeder

    Msaada tutani wadau wa samsung phones

    Duh ! Sijawai kuona kitu kama hicho computer huwa haikosei ila wewe unaweza kukosea the way ulivyo i direct ndivyo itafanya au itakuambia hauko sahihi. Kwa ishu yako inaonyesha kuna misbehave.Jaribu ku restart computer then anza tena ku connect usb pia hakikisha usb settings ziko sawa kwenye...
  7. Dog breeder

    Oppo simu Bhana!

    Oppo sijawai kutumia ila naona still ni good device nimeona hii OPPO reno 5f ina ram gb 8 alafu ina expansion ya ram mpaka gb 13 hii imekaaje mkuu.
  8. Dog breeder

    Oppo simu Bhana!

    Oppo sijawai kutumia ila naona still ni good device nimeona hii OPPO reno 5f ina ram gb 8 alafu ina expansion ya ram mpaka gb 13 hii imekaaje mkuu Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
  9. Dog breeder

    Oppo simu Bhana!

    Nimekupata mkuu
  10. Dog breeder

    Oppo simu Bhana!

    Sony nilichunguza nikagundua wako mbali zaidi ya smartphone zingine mfano sony yenye ram 4gb inakuwa more powerful kuliko brand yoyote yenye ram gb6 au zaidi. Hawa jamaa wako mbele sana hata display zao super amoled yenyewe haikuti mfano xperia xz3 na galaxy note9 xperia imefunika kila kitu...
  11. Dog breeder

    Oppo simu Bhana!

    Yes mkuu hiyo ni kweli kabisa
  12. Dog breeder

    Oppo simu Bhana!

    Google camera iko vizuri ila kuna hizi simu za sony japo sio zote nazungumzia kwa upande wangu nilitumia x compact inacamera kali nikajaribu kudownlod Google camera yenyewe ni android Oreo ila still default camera ya sony ilikuwa inatoa picha quality kuliko Google camera nikaamua ku unstall...
  13. Dog breeder

    Oppo simu Bhana!

    Nakubali haina support ya developer.Uzuri wa soc kama snapdragon au exynos zipo supported sana developer nilishangaa simu kama nexus 5 inaenda hadi android 11 kwa kutumia leanege os.
  14. Dog breeder

    Oppo simu Bhana!

    Ni sawa high end smartphone zinatumia snapdragon na exynos maana ndo processor bora kwa muda mrefu Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom