Napata sana kiu ya maji wakati wa usiku

bitimkongwe

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
4,052
2,000
Updates:nimepima sukari ipo vzuri tu wala haina tatizo.
Unaweza kutuambia ni ngapi? Au cheki kwenye youtube utapata taarifa nyingi kuhusu sukari.

Siyo kwamba nakutisha lakini inawezekana vipimo vikawa kwenye borderline kwa hivyo ukichukuwa tahadhari ya kutosha na mapema basi haitasogea mbele.
 
BLACKTYGA

JF-Expert Member
Nov 24, 2016
223
250
Sukari inarithiwa kijana, ila mfumo wa maisha ndiyo unaongeza probability ya mtu kupata sukari.

Kuna diabetes type 1 ambayo ndiyo kwa asilimia kubwa inatokana na urithi na unakuta hata watoto wadogo wanayo.

Kuna type 2 ndiyo inayotokana na mfumo wa maisha.
Nimekubali umefuata maelekezo.
 
Dog breeder

Member
Sep 4, 2017
36
125
Sijaelewa ni kwa nini kila nikilala nitastuka kabla ya asubuh iwe mara moja,mbili au tatu nakuwa nasikia kiu ya maji sana.Yani ile kiu balaa kias siwez vumilia lazima ninywe maji ata funda moja.Mara nyingi haipiti masaa mawili baada ya kulala lazima niamke nikiwa nasikia kiu. Hali hii haikuwepo miaka ya nyuma na ata km ilikuwepo sio kwa kiwango cha hivi karibun. Ndani ya mwaka huu naona imezidi.
Mara nyingi hii hali inanitokea,naweza sema mara 4/5 kwa wiki.

Note:wala sitok jasho usiku kusema napoteza maji mwilini,hapana.Na pia ni mnywaji mzuri wa maji wakati wa mchana.

Mwenye kujua tafadhal kama ni tatizo na jinsi ya kulikabili.
Ungekuwa ukistuka unakunywa bia ningekushauri uangalie isije kuharibu mwili wako lakini maji mbona safi tu.Ila kwa kujiridhisha nenda kacheki afya.Ila nadhani pia hali ya hewa ni ya jua kali sana na joto pia yaweza kuchangia japo unasema unakunywa sana ila hujakizi mahitaji maybe ndo mana unastuka nakuhisi kiu sijambo baya kunywa tu.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
All TRUTH

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
5,175
2,000
Sijaelewa ni kwa nini kila nikilala nitastuka kabla ya asubuh iwe mara moja,mbili au tatu nakuwa nasikia kiu ya maji sana.Yani ile kiu balaa kias siwez vumilia lazima ninywe maji ata funda moja.Mara nyingi haipiti masaa mawili baada ya kulala lazima niamke nikiwa nasikia kiu. Hali hii haikuwepo miaka ya nyuma na ata km ilikuwepo sio kwa kiwango cha hivi karibun. Ndani ya mwaka huu naona imezidi.
Mara nyingi hii hali inanitokea,naweza sema mara 4/5 kwa wiki.

Note:wala sitok jasho usiku kusema napoteza maji mwilini,hapana.Na pia ni mnywaji mzuri wa maji wakati wa mchana.

Mwenye kujua tafadhal kama ni tatizo na jinsi ya kulikabili.
Kabla hujalala kunywa lita2 za maji
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom