Recent content by dodoso

  1. D

    JamiiForums Tanzania CCM: Chuo cha Dodoma kiitwe JK University

    Tatizo liko wapi wadau? Hata UDOM ingeitwa Pakashume Univ. hakuna shida. Tusiyumbishwe na majina, cha msingi ni ubora na hadhi ya elimu inayotolewa. Na kama wana CCM wameamua kubadili jina na kuwa JKU its alright. JK anastahili heshima zaidi ya hii, Watanzania tusikubali kugawanywa kwa interests...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kanisa kujenga vyuo vikuu vitatu vipya

    Waislamu mjifunze kujenga mashule na vyuo sio kushabikia Madrasa, Arobaini, Hitma, Maulid, Mihadhara, Talaka, mahakama ya kadhi, mirathi, na mambo yasiyo na tija kwenu. Amkeni, Fungukeni.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kulewa

    Jamani kijana wetu kaomba ushauri, lengo ni alewe sasa unapomweleza mambo mengine unamaanisha nini? FANYA HIVI DOGO ANZA NA KIROBA 1 CHA KONYAGI, PIGA SAFARI 3 ZA MOTO, ONGEZA KIROBA 1, PIGA SUPU YA MKIA, PUMZIKA KIDOGO, WEKA MAJI BARIDI BUGIA, PANDISHA KIROBA CHA MWISHO, MALIZIA NA SAFARI 1 TU...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mpya leo.

    kama wanataka kuoa kuna magazeti ya Udaku wakajitangaze huko. Hovyo tu
  5. D

    JamiiForums Tanzania Heslb + tcu+ second batch+ mauaji

    Haki ya Mungu kama HESLB hamtakuwa wazi na kusema kama kuna kitu kinachoitwa SECOND BATCH, mtasababisha mauaji mitaani. nina imani na hakika kwamba huyu mnayemwita TAPELI ametumia mwanya wa SECOND BATCH kujipatia mamilioni ya wanafunzi walioomba mikopo wakakosa na hata kile kidogo walicho nacho...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi jihadharini na huyu tapeli!!!

    HESLB semeni WAZI kama kuna kitu kinaitwa SECOND BATCH maana sisi tuliokosa mikopo tuko tayari kufanya lolote ili tu tupate mikopo, na huyu tapeli ametumia upenyo huo unaoitwa SECOND BATCH kutapeli. HESLB BE OPEN la sivyo mtasababisha watu wauane mitaani. MTUNDU KISU< NA VICTOR KISANGA MNASEMAJE...
  7. D

    JamiiForums Tanzania loan

    ndebile unasemaje hapo?
  8. D

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo hamueleweki kwa sisi tunaokata rufaa.

    Mimi wananiambia eti ni robbot, natakiwa ku verify codes, nimefanya hivyo mara 21 na bado natakiwa ku verify, kulikoni jamanini?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Hii ni kali sasa kwa elimu ya tanzania.....

    hata kama mtihani huu utasimamiwa na Mungu mwenyewe, ikiwa ni kuchagua TRUE or FALSE, YES or NO A,B,C or D ni msiba tu.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo yatangaza rasmi wameachia majina ya wanafunzi na mikopo yao.

    kulala lazima kwani ukiyakuta hayo majina kesho utakuwa umepungukiwa nini wewe?
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu amesikia hki kitu leo kuhusu heslb?

    nife mamaangu leo silali mpaka nione jina la mke wangu na % aliyopata, wazee kama vp tukutane tukapate hata bia moja moja wakati tunasubiri.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo yatangaza rasmi wameachia majina ya wanafunzi na mikopo yao.

    these are just breaking news guys, acheni ulofa.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Wake wengi

    mbona mfalme suleman alikuwa nao kibao?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu amesikia hki kitu leo kuhusu heslb?

    nimesikia kuwa umepata 100% ni kweli?
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kauli kutoka bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu soma hapa

    Acha mambo yako Shayo, nukehamba shindo sha mbaka leka.
Back
Top Bottom