Bodi ya mikopo yatangaza rasmi wameachia majina ya wanafunzi na mikopo yao. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bodi ya mikopo yatangaza rasmi wameachia majina ya wanafunzi na mikopo yao.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by TUNTEMEKE, Sep 18, 2012.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Nimemuona mkurugenzi wa bodi ya mikopo kupitia taarifa ya habari Chanel 10 akitangaza idadi ya wanafunzi ambao wamewapa mkopo na kusisitiza wanafunzi watembelee websit ya bodi ili waone % zao walizopata.bt binafsi nimeingia kwenye websit ya bodi sijaona kitu.Nadhani watakuwa wanarekebisha kitu flan.
   
 2. L

  Long time no see Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 1, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawa ni wahuni tu mm mwenyewe nimemsikia mkurugenzi lkn kwenye tovuti zeeee tusubiri labda kesho
   
 3. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,341
  Likes Received: 1,049
  Trophy Points: 280
  Nadhsni uliyeleta hii thread ni msomi na ndio maana unafuatilia mambo ya loan board. Ebu angalia hiyo heading. BRECKING NEWZ ndio nini?
   
 4. K

  KYALUMUKUNZA Senior Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ni kweli nami nimesikia kupitia chanel 10 ila nimeingia websit ya heslb hamna kitu hawa jamaa hawajajipanga ngoja tusubiri.
   
 5. Njunwa Wamavoko

  Njunwa Wamavoko JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 5,577
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Mbona cioni ki2 au 2naingia olas
   
 6. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  kitu kinaweza achiwa muda si mrefu tuwewavumilivu tu..
   
 7. Mtoto halali na hela

  Mtoto halali na hela JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 19,185
  Likes Received: 2,883
  Trophy Points: 280
  kweli kama umefika form 6 sio tija, hata std 7 ni mjanja kuliko ww.
   
 8. SAMORE TOURE

  SAMORE TOURE Senior Member

  #8
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ts 2ruuuuuuuuuuuuuuuuuu
   
 9. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  umeyaona mkuu..???
   
 10. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  sijajua kitu gani ambacho kimekuchanganya,vinginevyo unataka kujifurahisha tu.
   
 11. A

  Apex JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 429
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Thenx mkuu 2subir 2one.
   
 12. d

  dodoso Member

  #12
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  these are just breaking news guys, acheni ulofa.
   
 13. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #13
  Sep 18, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,892
  Likes Received: 4,745
  Trophy Points: 280
  Idadi ya waliopata ni 33,050. Idadi imeongezeka ukilinganisha na mwaka jana, vigezo walivyotumia zile priority, yatima, single parent, walemavu mzazi au mwanafunzi, direct from form 6, na shule ulizosoma. Pia kwa takwimu idadi ya wavulana waliopata ni asilimia 60 na wasichana ni 40. Ahsanteni nadhani kesho mambo hadharani.
   
 14. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #14
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  ndiyo hicho 2?
   
 15. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #15
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  leo halali mtu hapa hadi kieleweke
   
 16. kuku dume

  kuku dume JF-Expert Member

  #16
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  50%/50% yaani mgu nje mgu ndani.
   
 17. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #17
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  lala tu ndugu,utaona hata kesho,yapo tu
   
 18. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #18
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kama kawaida ni mwendo wa ku refresh page tu, hata iwe mpaka kesho jioni ntafika tu hamna shida
   
 19. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #19
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kijana wacha chesea hii habari, halali mtu hapa
   
 20. d

  dodoso Member

  #20
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kulala lazima kwani ukiyakuta hayo majina kesho utakuwa umepungukiwa nini wewe?
   
Loading...